Uhamiaji mambo tayari wale wa koplo na kostebo

ERICK YUSTO

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
207
195
Haya wale wa koplo na konstebo mambo yapo tayari..ingia tovuti ya wizara home affairs mda huu
 

bado nipo

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
303
0
Wale muliopata ongereni mi nimekosa jamani na wale tuliokosa huo so mwisho don't give up name wala isikupotezee imani yako Kwa Mungu zidini kumuomba
 

Dusko Tadic

Senior Member
Nov 22, 2014
172
225
Kweli ilikuwa na ubin-adam na unyoofu kidogo. Jamaa yangu kapata wakati babaake hajulikani hata kwa mjumbe wa nyumba kumi, hajahonga wala hamjui mtu huko juu. So tuwe tunajaribu bahati jamani!
 

ERICK YUSTO

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
207
195
wakuu hakikisheni mnasoma tangazo vizuri na requirements zinazohitajika kwenda navyo..kwa ufupi ni kuwa mnatakiwa kuripoti tarehe 1 december siku ya j3 pale ofisi za makao makuu ya uhamiaji(kurasini) na vyeti halisi vya kuzaliwa na academic plus picha mbili za rangi..muda ni saa mbili kamili asubuhi..kumbuka kuwahi na kufika kwa wakati bila kusahau requirements zote zinahitajika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom