Ahhhhhhhhh kama hawakuwahi ishi pamoja huyo kashapigwa na isitoshe documents zote kuhusu nyumba na kila kitu ni zajamaa na pengne jamaa lilikuwa na mke toka zaman sasa mpenzi ataingiaje kudai kugawana?
Umejitahid kufafanua japo bado uko mbali sana....hujatwambia bei ya misumari,vigae,mfumo wa maji ndan,shimo la choo,mbao za renta,brandaring,jamvi,garama za maji,siment,mfumo wa umeme,top za mirango na frame zake,jimsomeboard,
Unaonekana wakati unaandika post yako ulijipinda kichakan kukata gogo huku akili yako yote nikuangaza wapita njia wacje kukufumania ndo maana ukajikuta unaandika uchafu ka huo iliokuwa ukiutoa hapo kichakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaz ya macho nkuona sio kusikia na huwezi kusikia kwa kutumia mdomo bali utasikia kwa kutumia masikio mpaka hapo najua mtoa mada umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ndo kusema hii bomoa bomoa nkwaviwanja ambavyo havikupimwa!! maake nmekuwa nkisikia viwanja vinahati miliki ila wanavunjiwa tu mwenye uelewa wahili naomba msaada maake nataka nnunue kiwanja tena kimepimwa xx nnaposikia vilio hv naogopa kabxa tena nakuwa namaswali meng iweje mtu awekeze nymba...
Tatizo lakibiti bila wanakibiti wenyewe kutoa ushirikiano ktk majeshi yetu litawasumbua sana askari wetu mm naamini kabisa hawa wanaofanya mauaji haya nwatu tunakula nao,kulala nao,nakushinda nao tukishirikiana wote kwa pamoja kutokomeza swala hili inawezekana
Mkuu nkweli umejarbu kuzungumza fact ila tunatakiwa tujue neno ccm njina tu ka yalivyo majina ya yavyama vngne tatizo kubwa hapa niwale waliopewa dhamana ndani yake nakwahili analolifanya mkuu wanch twaitaji kumpa support kubwa ili ifikie mahali zana yautumishi wauma iwe nzana yakwenda kutumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.