Nani alikwambika tawala zote zimetokana na Mungu, wana wa Israel walimkataa Mungu baada ya waamuzi wakapata mfalme Saul, Ahabu Mfalme, Pharao wa Misri, Herode hawa ni baadhi ya watawala ambao hawakutokana na Mungu. Manabii ambao waiitwa waonaji ndiyo waikuwa wanangoza tawala za kifalme mfano...