Recent content by mahii

  1. mahii

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Maisha unatakiwa utumie akili kubwa kuishi kwenye ajira,ila kuwepo kwenye ajira ni security kubwa ya maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mahii

    JamiiForums Tanzania Natamanii kujua Deni kufika ukomo inamanisha nini katika uchumi kwa nchi husika..?

    Good politics is related to good economy, poor economy......poor politics
  3. mahii

    JamiiForums Tanzania Goodluck Haule among top suspect wanted by Tanzania Police Force

    Hiyo lugha na huo urefu sijaambulia kitu msaada wenu wadau.
  4. mahii

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kweli wewe ni BEBERU MWITU mwenzako anaomba ushauri vizuri we we unamjibu kejeli,iko Siku nawe utajibiwa hivyo.
  5. mahii

    JamiiForums Tanzania John Heche jiandae kuongoza CHADEMA

    Mambo yote yanaratibiwa na chama na kufanyiwa maamuzi na wanachama wenyewe katika mikutano mbalimbali, , hakuna kitakachoharibika,
  6. mahii

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Maiti kuongea na kutaja aliye muua

    Sasa baada ya marehemu kunena hayo si angeshughulikia maswala yake kwanza ndo afe, ,
  7. mahii

    JamiiForums Tanzania Wanaume washauriwa kulia ili kupunguza msongo wa mawazo na kujiua

    Muhubiri 3:4
  8. mahii

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

    Kuna watu wenye stress wewe sio huyu acha utani yeye ni fresh from collage, bado ajasota mtaani miaka 5, anakula aumwi, muulize vizur labda kagombana na mpenzi wake, ,
  9. mahii

    JamiiForums Tanzania Biashara mtandaoni

    Hizi biashara za kwenye mitandao ni za kua makini mno hutaweza kuamin utakapoibiwa,
  10. mahii

    JamiiForums Tanzania Aina za wasafiri wa dala dala pamoja na muda wa kusafiri kwa kila kundi

    Mbona hujatutaja sisi tunaowanga na hatuna usafiri binafsi.
  11. mahii

    JamiiForums Tanzania Afa baada ya kupiga punyeto mabao 52

    Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa
  12. mahii

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma ni waoga sana wa maisha nje ya Serikali

    Einsten unatumia kinywaji gani nikupongeze kwanza kwa mawazo postive kama haya,
  13. mahii

    JamiiForums Tanzania Kuishi vema na wasaidizi wa nyumbani

    Pamoja na hayo ukipata msaidizi mwenye kujielewa kwa sasa mshukuru Mungu, , ni kuwabadilisha tu kama unabadilisha nguo, ,
  14. mahii

    JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Mambo 5 ya kuzingatia kabla hujaingia baa

    Ebu ngoja nipige kwanza balimi mbili ndo nije kuchangia mada.
Back
Top Bottom