TUONGEE KIUME: Mambo 5 ya kuzingatia kabla hujaingia baa

TUONGEE KIUME: Mambo 5 ya kuzingatia kabla hujaingia baa

Usioni umuhimu wa pombe.
Namshukuru Mungu Mr nae hatumii pombe.
Ukinywa pombe ukilewa unajidharirisha
Pombe inaongeza umasikin ktk familia.

Kuishi bila kunywa pombe inawezekana,

Swali? Kwa wanawake
Hv mwanamke mwenzangu unajisikiaje mumeo anarud kalewa njwiiii, na au kajikojolea na kero nyingine nyingi za ulevi au anasukumwa kwenye mkokoten wanamleta nyumban hajitambui c unaweza ukafa kwa presha jaman.
Nakuunga mkono kama ifuatavyo;kuna mpangaji mwenzangu anaishi na mkewe,sasa jamaa kwa kweli ni mlevi kupindukia na ana kero kwa mkewe na sisi wapangaji wenzake japokuwa jamaa ana kazi nzuri sana ya kuchukuliwa na Gari ya ofisini na kurudishwa jioni.muda mwingine akirudi usiku utasikia anamwambia mkewe wee mama Asha ingia ndani nataka kuto***.na mambo mengine mengi kwa kweli mkewe anavumilia mambo mengi.
 
Usioni umuhimu wa pombe.
Namshukuru Mungu Mr nae hatumii pombe.
Ukinywa pombe ukilewa unajidharirisha
Pombe inaongeza umasikin ktk familia.

Kuishi bila kunywa pombe inawezekana,

Swali? Kwa wanawake
Hv mwanamke mwenzangu unajisikiaje mumeo anarud kalewa njwiiii, na au kajikojolea na kero nyingine nyingi za ulevi au anasukumwa kwenye mkokoten wanamleta nyumban hajitambui c unaweza ukafa kwa presha jaman.
Utakufa kibudu
 
Usioni umuhimu wa pombe.
Namshukuru Mungu Mr nae hatumii pombe.
Ukinywa pombe ukilewa unajidharirisha
Pombe inaongeza umasikin ktk familia.

Kuishi bila kunywa pombe inawezekana,

Swali? Kwa wanawake
Hv mwanamke mwenzangu unajisikiaje mumeo anarud kalewa njwiiii, na au kajikojolea na kero nyingine nyingi za ulevi au anasukumwa kwenye mkokoten wanamleta nyumban hajitambui c unaweza ukafa kwa presha jaman.
Hua mna-date na walevi wa gongo/banana itakua,hao ndio hua wanajiokojolea wakilewa.
 
Kuna watu wengine tunalewa Sinza tunakaa Bunju tunaenda baa saa 2 usiku tunakunywa hadi saa nane..tunawasha gari na tunafika salama tunapokwenda..hatutapiki, hatuyumbi, hatujikojolei, kimsingi huwezi kuona umuhimu wa kitu usichokifanya..sio swala la kushukuru kwamba wewe hunywi pombe wala mr wako hanywi pombe...kunywa pombe ni swala la starehe kama ilivyo starehe ingine..
Nakazia tena kwa msisitizo umeandika point tupu.
 
Sijui huu uzi nimeufungua ili iweje? Maana na kiu imekuja kwa kasi ya ajabu kabisa pombe naipenda
 
Tusaidiane ukiona mlevi anabishana na konda kua kampa nauli na konda anadai hajampa, kuepusha shari wazee wanachama tumtolee tuu hiyo Mia tano,especially likiwa bus limefika mwisho konda anamzuia abaki naye nyie wengine mshuke, anaweza asirudi na wallet au hata hicho kimboga alichoshika mkono wa kushoto, kama mtujuavyo hua hatusahau familia lazima mkono wa kushoto ubebe package iwe chakula, nyama au samaki.
Sasa kumlinda mwana bora umtolee hiyo mia tano hata kama konda anadai mara ya pili
 
Tanzania ya viwanda. Ye kafungua kiwanda cha kutengeneza mashoga!!!!
Arusha kuna machalii 2anavizia ukizima wanajifanya ndugu zako wanaenda kukulawiti! Na suala hili limeongeza ushoga Arusha... Kuna chalii anaitwa papii wa sekei anatajwa sana kuhusika na ulaji na utengenezaji mashoga.
 
Kama wewe ni mwanaume unasoma uzi huu naa hutumii pombe tambua kuwa haupo sawa.

Save water, Drink beer!
 
Back
Top Bottom