Recent content by mahenda255

  1. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Paka anauwezo wa kukufanya usionekane. Uwezo huu ukiutaka ni rahisi tu

    Aya sawa tumekuelewa
  2. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kila kitu kwenye Aviator, nakaribia kupoteza uhai pia

    We unabet aviator kweli unategemea maganikio? We bet mpira ambao unajua kabisa hauendeshwi na kompyuta ukila umekula ukiliwa umeliwa halali
  3. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa Mbeya faida wanazipataje?

    Kitimoto ni elfu8 sio 9 boss na ukilialia hata elfu 7 unapata
  4. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Kalambo sehemu gani mbona mie nipo matai natafuta mashamba ziyapati kwa bei hiyo
  5. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Mie nimejaribu ku register kupitia website yako ila kila niki login sioni maelekezo yoyote. Ni kwangu tu au kuna mtu kapata changamoto kama yangu
  6. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    vipi kuna watu wameanza kuitwa au kupigiwa simu maeneo yenu?
  7. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. mahenda255

    JamiiForums Tanzania GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Subiri panga
  9. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Jumanne Uzi utafufuka tena
  10. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kesho magereza wanaapa
  12. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Umelipwa shingapi? Kutangaza hivi
  13. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Mshahara tayari Umetoka Jana asubuh
  14. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Vikaragosi vya AI vinaua ubunifu wa sanaa ya uchoraji na havina mafunzo

    AI unaicommand vile unataka picha iwe hizo za kukimbizana na kucheka ni vile watu wanapenda iwe
  15. mahenda255

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari aina mbalimbali

    Bomu hili linalipuka mda wowote
Back
Top Bottom