Recent content by maharage ya ukweni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tru.mp aibembeleza china imshauri Iran afungue Horms

    😁😁😁😁😁😁😁😁 Hali ikiendelea hivi watu wa mikoani watakuwa wanakuja Chalinze na baiskeli then wanapanda basi kuelekea makwao maana sio kwa bei hizi za mafuta. Halafu marekani akimgusa tu Iran 🇮🇷 ujue zinachapika tena miezi 2 sasa unafikiri mafuta si bei itakuwa 10000 kwa lita?Kwakifupi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    We iache tu kama ilivyo sina hamu hata kuisikia lakini ndio hivyo tena
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Yaani roho ndio yenye uamuzi wa mwisho na ina nguvu mfano kuna sehemu mwili na roho zinapita pamoja lakini kuna sehemu nyingine roho inauambiwa mwili "KAUSHA HAPA HAPA NIKIRUDI NTAKUJUZA"😁😁😁😁😁😁
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Hata A1,A2,A3...............ilianza kwa MUNGU Kwahiyo hata kwenye M za viganja kuna M1,M2,M3........ yaani kuna mistari midogo midogo ya pembeni ambayo inatofautisha M yako na watoto wako pamoja watu wengine
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kusudi kuu la maisha ni balance (uwiano) na survival. Raha inakuwa fupi kwa maana unajaribu kusavaivu na tabu inakuwa ndefu ili ku-extend uwiano

    Ndio maana hata wajinga kama POPOMA hawawezi kuisha coz Ndio wanasababisha watu wenye akili kama sisi akili zetu zionekane na kufanya kazi😁😁😁😁😁😁😁
  6. M

    JamiiForums Tanzania Being alone is superpower

    Ha ha ha ha! Ndugu nimechomoa STROKE 3 ambazo ni clearly chances yaani mimi wangekuwa washazika zamani.Haya maisha kuna watu wapumbavu sana yaani wewe huna habari naye lakini anaenda kukupigia ramli.Nimesha apa sitojichanganya tena coz kuna KENGE hazina akili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Being alone is superpower

    Binafsi na enjoy sana nikiwa peke yangu na mara nyingi nakuwa na amani,huwa nikichanganyika tu lazima nipate matatizo. Kuna kipindi mama akanishauri nichanganyike na watu basi nyumba niliyopanga wakati naanza maisha kulikuwa na sehemu nje wanacheza draft.Kulikuwa na watu wazima na baadhi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Mifano mbona iko mingi tu hata mkienda kwa mganga kutafuta UTAJIRI WA KIBEGI NA NYOKA masharti hata kama wote yatafanana lakini level ya utajiri utatofautiana.Utofauti wa maumbile ya mwanadamu katika MWILI yana akisi tofauti ya kimaumbile katika ROHO. Alama katika VIGANJA VYA MIKONO...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Haiwezekani hata kidogo,unajua MEDITATION ni sanaa tu lakini na sehemu ndogo sana ukilinganisha na uwezo ambao ni KARAMA ambayo mtu anapewa na MUNGU!Mfano binafsi mimi huwa natoka nje ya mwili mara nyingi sana wakati tangu nizaliwe sijawahi fanya hiyo MEDITATION. Pia MEDITATION ina...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Tatizo maandiko na ushahidi wa baadhi ya matukio ambayo yalitokea kweli katika baadhi ya jamii ndio vinapingana na NADHARIA hii.Hivi hujawahi kusikia mtu siku zake za mwisho anawaambia kabisa ndugu na jamaa mimi siponi? Kuna baadhi wa watu siku za mwisho huwa na majuto sana,hivi unafikiri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Mwili wa binadamu ni dhaifu sana na ndio maana Mwili ukilazimisha kufanya jambo nje wa uwezo wake lazima utengane na roho au upate madhara ya kudumu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Hizo ni nadharia tu, kama mtu amekufa kweli yaani hajachukuliwa msukule safari ni KUZIMU hakuna kwenda kuishi kwengine wala sayari gani sijui.Haya maisha yetu as long as tunatumia mwili huu huu wa nyama mwanzo na hatima yetu haitobadilika mpaka mwisho wa dunia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Haitokea watu wote tukawa MATAJIRI endapo tutaweza kuitumia hiyo na pia haitotokea wote tukawa MASKINI hata kama watu wote tutashindwa kuitumia hiyo nguvu.Mifumo yote ya fahamu imewekewa UKOMO wa kiutendaji yaani ya upokeaji. 1.MACHO;Kuna ukomo wake wa kuona na sio kila kitu utaona hili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya siri / Hidden knowledge

    Tatizo hivi vi Degree vya kuhonga wahadhiri ndio vinatufanya baadhi ya watu wajione na akili sana mpaka kudhani hakuna mungu au dunia inajiendesha yenyewe na hakuna nguvu ya NURU wala GIZA. Usiku na Mchana ni mfano mzuri na wa dhahiri kuonyesha kwamba GIZA NA NURU havifanani.Kwakuwa...
Back
Top Bottom