Recent content by mahalathetz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tecno M3 kujibonyeza yenyewe naomba msaada

    Simu yangu ina tatizo la kuhamisha unachokifanya. Kwa mfano naweza nikawa naandika "a" yenyewe ikaacha nafasi na mbaya zaidi naweza nikawa nafanya kitu fulani kama kuchat ghafla tu inarudi nyuma. Mfano naandika kutoka hapa Najikuta inanipeleka mwanzo kabisa hapa. Na wakati mwingine nikiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Uswahilini wana Makalio Makubwa Sana

    Kwani huyooooo mbongooooooooo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wanapoteza sifa ya kuwa wake wakiwa kwenye ndoa ndo maana ndoa zinavunjika

    Atajua wapi kupoka? Cha kushangaza et mwanamke anakula gengeni
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwani watu wengi wanapenda Masturbation?

    Jibu ni moja na ni suluhisho kwa distance love na uaminifu kwa umpendaeereeee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwani watu wengi wanapenda Masturbation?

    Jbu ni moja tu na n suluh
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ipo wapi thamani ya JOHO la kuhitimu kama zamani?

    Wacha wasote na majoho si tusote na mahela, chuo ilikua zamani saaana sio enzi hizi za BRN wadau muelewe Unamaliza chuo hata chembe la utofauti na mtu aliyehitim ngazi ya cheti hamna, Unadai hadhi ya joho nawakati hadhi yako kwenye life skils hatuioni? Umevaa joho kwa ajili unahitm mfano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    Mmmmm ni baraaasa lipo moja hivi hadi mama aliamua kuliangua likiwa bado kwa aibu nyumbanu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Kakaaa kimya kama hajawahi sikia vile
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Same akiri kupoteza mitaa na vijiji 100

    Mi ninaanza kuingiwa na wasiwasi juu ya CDM Tunajiita makini kumbe hata vielelezo vya msingi tunashindwa kuvitambua? Akilini haingiii huyo ni katibu mwenyekiti alikua wapi? Na kwa utahila huo hawa wezi watazidi kutushika ------ tuuu Kumbe mi ndooo naanza kupata picha nini maana ya siasa, ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwana JamiiForums nampenda lakini naogopa kumfata PM

    Simu yako we shy mropokeee tu kuliko kuugua vidonda vya moyo. Siri ya mwanaume ni urijali sas kama unambwela hivi hafu naye akajua si atakuona boyaaaa Raha ya kichefuchefu ni kutapika mdau , Er We yamwage atajajua yeye
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mwana JamiiForums nampenda lakini naogopa kumfata PM

    Sasa shy nitume mimi mzeee wa swaga nimusaidie
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hujafa Hujaumbika.. Picha Zinatisha ila Watanzania Tuungane katika hili

    Nizione nisizione potelea mbali mnipe utaratibu tu wa kutuma niliko nako basiiiiiiiiiiiiii Tena siendi bar kuliko nikanywe bora nimchangie binti
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

    Mi napendaga yule kila kituo ananunua viroba vya z na kujivutia ka master sport gari likita kuondoka mdomo unatema miksa, alafu anafunga mdomo wake na kaugorooooo hana habari na mtu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mama Rwakatare CCM amefikishwa Polisi kwa kosa la Kubomoa Nyumba

    Naombeni ushauri Nataka nimtafutie mme tapeli make amezidi sasa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli "'Condom' zatumiwa na kufuliwa TZ"

    Nikweli hata sehemu moja kigoma inayoitwa kagera nkanda , mtu anakodisha kondom geto kwake na wengine hutumia mifuko laini na mafuta ya mgand na mzigo unaliwa kama kawa. Cha ajabu wakuu wengine hutumia vipurizo na kulainishia na mafuta ya mgando
Back
Top Bottom