Mr. SADC_TZ
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 106
- 22
Heti Wakuu humu ndani, kuna ukweli upi kuhuksu hii habari ya BBC.....!Mimi binafsi nilishindwa kutoa conclusion juu ya suala hili ...nipo kwenye Dillema so far.
Habari iliandikwa hivi:-
Nchini Tanzania kuna maeneo machache ambayo baadhi ya watu wake hawana uelewa thabit wa kutumia mipira ya kiume(Condoms) kiasi ambacho mpira mmoja unaweza kutumiwa na vijana watatu hadi wanne kwa kubadilishana baada ya kuusafisha na kuanika juani.
Hali hiyo imeelezwa kuwa chanzo kingine cha kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.
Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza alitembelea wilaya ya Longido kaskazini mwa Tanzania kijijini Orglay na kuzungumza na mmoja kati ya vijana wa kijijini hicho.
LINK:- 'Condom' zatumiwa na kufuliwa TZ - BBC Swahili