Recent content by Magwangala

  1. Magwangala

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Studio Furaha TV zinazomilikiwa na Mpwa wa Hayati Magufuli zavamiwa na Mabaunsa na watu wenye silaha

    Pamoja na yote mnapata wapi kibali cha kuvamia na kuharibu mali bila kufuata sheria?
  2. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

    Makonda hakutupwa mbali huko,bali alijitupa mwenyewe baada ya kuacha Uarasii na kwenda kugombea ubunge ambao aliukosa
  3. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Hata huyo aliyekataa naye alimtaka Zakiya Meghj badala ya Dr "Cheni" naye akakataliwa na deep state
  4. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Plus baadhi ya wafanya Biashara wakubwa na wenye ushawishi,hata baadhi ya viongozi fulani wa dini
  5. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    Aliyesukuma mpaka aliyepata akapata ndiye kiongozi wa deep state
  6. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Miongoni mwa matatizo ya msingi ya Man United ilikuwa ni kipa
  7. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Crescent Magori Mwenyekiti Mpya Simba Sport Club

    Alichukua ubingwa mara nne mfululizo na kuipeleka Simba robo fainali klabu bingwa kwa mara ya kwanza tangu miaka ya 70s.
  8. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbeumo ni mali
  9. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Anatumia Cunha kocha anamuingiza Zikzee wakati Sesko yuko bench,Dalot ni kati ya wachezaji wasio na sofa ya kuchezea United
  10. Magwangala

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kama kuna mtu anadhani hii vita itaisha hivi karibuni anajidanganya,vita ndio karibu inaanza,kinachoendelea ni maandalizi ya hiyo vita tu, itachukua miaka mingi,si mmoja wala miwili.Nitakuwepo kuwakumbusha kobazi na kafiri
  11. Magwangala

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Moderator Active Principled ni vema mkashughulika na watu kama hawa
  12. Magwangala

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Moderator na wenzako,ni vema mkampa haki yake huyu
  13. Magwangala

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Watashambulia kwa makombora 400 usiku mkali ilikuwa ya kweli?Usiamini kila unachosikia,tumeshuhudia uongo mwingi kutoka pande zote, kafiri na kobazi
  14. Magwangala

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Kutesa kwa zamu,jana kafiri aliugulia maumivu,ngoja tuone usiku huu kobazi ameshatangaza maafa yaja TelAviv
Back
Top Bottom