Recent content by magunga gh

  1. magunga gh

    Uongo wa Historia ya Afrika na Waafrika itajibiwa na muafrika

    mkuu uko njema japo cjawa mwanahistoria kihivyo,yapo yakupasayo kuyafanyia utafiti zaidi pengine ili kugeuza fikra za walio wengi hususa issue ya BABU yetu MKWAWA.....
  2. magunga gh

    Nchi zilizopata kutawaliwa na Marais "Matingatinga"

    Mtoa mada nazan si sahh sana ninahakika pia huna tafiti za kutosha ktk hili hivyo huenda lisiwe na impact njema hivyo umakini unahitajika ktk lolote uwazalo na hata kuliweka machoni pa wengi...
  3. magunga gh

    Msaada wa mawazo, nimpe jibu gani shemeji yangu?

    Ni hadithi zaidi kuliko uhalisia....
  4. magunga gh

    Msinishangae jamani!

    mtoa mada, mada yako imekuwa tata kidogo lkn jua kuna maisha mazr pia nje zaidi ya utumishi uwalimu nk hoja ninamna utakavyojituma mwenyewe kusaka maisha ktk njia njema,mshahara daima hautakidhi mahitaji yote ya familia zetu masikini hizi,olewa na yoyote ila msitegemee mshahara pekee....
  5. magunga gh

    Ushauri: Nimeshika simu ya mpenzi wangu, sina hamu naye

    kazi kwelikweli hizi cm za wapenzi wetu ni shidaaa.... lkn ni bora kuziacha kama huzioni kuepusha shari...
Back
Top Bottom