Recent content by magumbugu

  1. M

    Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Malamba mawili,kifuru na kinyerezi
  2. M

    Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Wakuu hbr za majukumu, Nina milioni 50, nataka ninunue kiwanja milionin 15, afu milion 30, nijenge nyumba vyumba vitatu, Vipi wadau ntatoboa kweli?
  3. M

    Bila maamuzi magumu kutoboa kupitia kuajiriwa nitakusikia tu kwenye bomba Ajira za afya michosho tu sifa mtaani tu ila hela hamna

    Inategemea na kiasi na mda unaofanya kazi, mfano mimi nafanya kazi masaa saba kwa siku 5, naingia weekend o/t, nakula bure kazn afu mwisho wa mwezi nakunja mil 5
  4. M

    Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Ndo hapo sasa, wewe umeleta kiumbe duniani unawajibu wa ku invest effectively ili kikue na kustawi ili kuendeleza kizazi bora na imara, ila ww uliishia kusomesha tu, unataka mtt na ka mshahara kake aje azibe failure zako zote za ujanani , hii ndo imesababisha chain ya umasikini isiishe, wazazi...
  5. M

    Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Umemaliza kila kitu, huyu kinachomsumbua ni validation,
  6. M

    Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

    Kwanza pole kwa changamoto mkuu Labda nikwambie kitu kimoja mfumo wa maisha ya ki africa tumejengwa katika hofu ili tudumae na tutawaliwe vyema, kwenye maisha hakuna mtu anayekudai au unayemdai isipokuwa tu kama una mtoto, mtu yeyote asikupe lawama kuwa humsaidii ukiikubali na kuijali hii...
  7. M

    Taja ukweli mmoja mchungu kuhusu maisha ambao imebidi ukubaliane nao?

    Siwezi kuacha pombe, Ndo ukweli ambao sina budi kuukubali
  8. M

    Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

    comment zenu zimenipa moyo sana wadau, bas narudi chamani
  9. M

    Leo rasmi naacha pombe, imenidhalilisha tena

    Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani, Tutaonana wakati mwingine
  10. M

    Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    nimetumia oppo A80 kwa miaka miwili haijawahi kuwa hvyo
  11. M

    Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    nimeinunua hta wiki mbili tatu bado
  12. M

    Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    nimefanya hayo yote, nikijaribu namba nyingine inakubali ila nikijaribu hii inakataa kabisa
  13. M

    Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
Back
Top Bottom