Recent content by Magulumangu

  1. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Kulikoni tena!

    Hii ndoo ndo G55
  2. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    Mkuu buy a bike, endesha hasa hizi za kuinama wanaziita race...utanishukiru baadae
  3. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Kama uliangalia Tamthiliya ya Chumong iliyorushwa na ITV hakika utamshukuru Rais Samia kuwapelekea Wasanii Korea Kusini!

    Mkuu wapi mama mkwe kumpenda mkwe, na wapi make kuwapenda ndugu wa mme?
  4. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

    Bro huyu now wewe ama rafiki yako...mbona unachanganya...umefanya vipimo vyote juu ni rafiki yako...
  5. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Happy Valentine's Day my babe

    Janga La Kimataifa mkuu...
  6. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Dah, pole mkuu...Kila.na chakula ni sawa kweli? Jamaa kweli juha...mtu anaweza kula hata Nyapu, sio lazima chakula
  7. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Jamaa nadhani lugha nayo tatizo ama hajui jokes...
  8. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Wanigeria jokes zao kwanza ni so straight, Trevor Noah kama hujui jokes ndo utaishia kuwaangalia hao kina Sabinus....T. Noah ni level ya kina Kelvin Halt...Huyo Sabinus hamfikii hata Blackson
  9. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Dah pole mkuu, Trevor Noah hajakichekesha basi hujui Comedy kweli...Huyo anahost shows USA...
  10. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Wasomali

    Kwanza mkuu hao Wasomali huingia hapa kimahendo, hawana documents za kuwa hapa..Na huko Zambia ni njia tuuu, wanaenda hapo South, hata Msumbiji wanapitia wengi mno, hawaitwi Wasomali, wanaitwa Wachezaji....
  11. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ex wangu ameniahidi ataongea na Mkuu wa Wilaya, anipatie kazi ya kudumu hapo ofisini

    Salama dear niaje weye...long time jamani...you good right?
  12. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    I see mkuu Paw Mr Ndeha kafariki? Dah, mie ntamkumbuka sana maana yeye ndo aliyenambia siku ya kwanza kabisa Jiteute, alikuwa anaita majina na kutwambia wewe mkondo gani...Alipoita jina langu akaniangaliaaaaa then akaniambia wewe subiri tuongee kidogo...mama yangu joto lilianza kunitoka, lakini...
  13. Magulumangu

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    Du mkuu Pasco kumbe Lowasa sio wa kumchezea, wanalo kina Le Mutuzi na baba ake na wafuasi wao...
Back
Top Bottom