Recent content by Maguha Majamu

  1. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

    Katika kuboresha mahusiano yetu, hebu anza kutimiza ushauri wa shemeji, unaweza chukua pale ulipo dhaifu, try your best then utaona mahusiano yako yanavyoshamiri na hata kuwa Mubashara! I am telling you it works! Shemeji shusha vitu vingine kwa shemeji zako!
  2. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Mashemeji zangu mambo vipi? Ebu pitieni hapa kidogo Ili twende sawa

    Hii hunikera sana kuona mtu na mke / mpenzi wanafokeana mbele za watu! Shemeji haya yote ni ya kweli kwa ajili ya kuboresha mahusiano.....!
  3. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Ivi kuna ubaya gani nikizoea kumuita mama yangu mzazi Mama Joan (jina la mdogo wangu)

    Kama ni jirani yako mwite tu
  4. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Nani kasema kupata namba ya mwanamke ni vigumu? Hebu jaribu hii tekniki

    Hii ndo mwisho!:p:p:p:p:p:p:p
  5. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Prince Philip wa Uingereza Aliamuru Prince Diana Kuuwawa

    Princess Diana alikuwa ni mke wa Prince Charles but waliachana ndo akawa amempata huyo Dodi Fayed
  6. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Awamu ya tano ni kama Big Brother House, kila siku ni surprise na show kibao.....!
  7. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Ngoja tuone show nyingine tena ya Escrow!
  8. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania A lady with wife material is need now

    Siyo bure
  9. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

    Ukishaoa majukumu yatakukabili then automatically utajua mwenyewe kama unapiga vitano au kimoja!
  10. Maguha Majamu

    JamiiForums Tanzania Chenge awa mkali, kumchukulia hatua aliyemzushia ujumbe wa uongo mtandaoni

    Elimu ya Chenge haina faida yeyote katika nchi hii zaidi ya kulitia hasara tu. mikataba yote isiyokuwa na tija Chenge yumo. Natamani Tanzania yetu ingetunyooshea watu wa type hii kwa kuwaua kwa risasi hadhani ili liwe fundisho kwa akina Chenge watarajiwa.
Back
Top Bottom