Recent content by Magu

  1. Magu

    Murano for sale

    Murano Yard kabla ya registration ni 28M wewe umeshaitumia na ina registration kwa jina lako ikihitaji kubadili jina na nyaraka unauza 35. Jipange ndg gari siku hizi siyo deal
  2. Magu

    Natafuta Mume Umri 38-43

    mm nina 43 na Master ktk finance, ni Mkurugenzi wa fedha. Ni pm tutaongea zaidi
  3. Magu

    Uchaguzi serikali za mitaa: MSAADA / USHAURI TAFADHALI

    kuna daftsri maalum la kujiandikisha na siyo ile kadi ya mpiga kura itakayotumika katika uchaguzi huu
  4. Magu

    House girl na kutandika kitanda cha Bosi wake... Nani alaumiwe?

    Kweli changamoto sana hapo ila mimi nisingefika kote huko mana mke hata kama mmegombana lazima utesti zari kama bado ana hasira au yameisha esp kama kosa ni langu. If such a bad mistakes has happened already, then I would act arrogantly to the end, come what may
  5. Magu

    Tonica isoyi wa radio "5" arusha

    Si wote tunaangalia TV unayoangalia, sema dada yupi na TV station gani
  6. Magu

    Kampuni ya tiGO na kuwabambikia wateja wa Post paid bili wasizotumia

    Wadau mbona thread yangu haichangiwi
  7. Magu

    Kampuni ya tiGO na kuwabambikia wateja wa Post paid bili wasizotumia

    Mm nilikuwa mteja wa huduma ya post paid katika kampuni ya tigo kwa kifurushi cha shs 50, 000 kwa mwezi ambapo nilitumikia mkataba wao na kumaliza na kuondolewa katika mkataba huo kwa kipindi zaidi ya mwaka mmoja. Lakini ilipofika julai 2014 nikaletewa sms kuwa nadaiwa kulipa shs 100, 000 au...
  8. Magu

    Only In Tanzania Wabunge 46 Wanaweza Kuwa na Mandate ya Wananchi Over Wabunge 280!!

    Tumuelewe le Mutuzi, anaposema wanaweza kukifuta chama mana yake ni kuwa Wabunge 280 wanaweza kupeleka mswada bungeni na kupigia kura ndani ya bunge na kupita na kuweza kufuta au kuingiza chochote watakacho kwa manufaa ya chama chao. Kwani mbunge mmoja anawakikisha kura moja, kitu ambacho ni...
  9. Magu

    Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

    Hivi umenipa majibu ya maswali yangu ambayo yamenisumbua sana na kwa mda mrefu, kwa kuona mashirika haya yenye muelekeo wa uanaharakati kukomaa sana na baadhi ya matukio dhidi ya CCM kuliko vyama vingine vya siasa. Kama jukwaa la katiba wameonyesha kuwa wana mlengo wa upinzani kwa maana ya...
  10. Magu

    MZiGO HUU HAPA

    Maswali mengine ya kujiuliza, Je ni milango 3 au 5? Inatembea? Inapatikana wapi kwa mawasiliano yapi? Hebu dadavua plz
  11. Magu

    Makamba Jr: Sioni mtu mwenye sura ya urais/uwaziri kwa wapinzani

    Kweli wewe una uwezo mdogo sana wa uelewa, kwa akili yako kabisa ulielewa kuwa ana maana ya sura ya binadam ( human face). JF imekuwa sehemu ya ajabu sana hata ile slogan ya 'A home of great thinkers' sasa imepotea na imekuwa jumba la kubeba wajinga! Great thinkers wengi aidha wamehama ndani...
  12. Magu

    CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

    Una maana ya aibu au haibu, hata kiswahili tu kinakupa tabu ndugu yangu!!!!! Kwa namna hii utaweza kweli kuchambua masuala ya msingi ya uendeshaji wa nchi, we still have a long way to go!!.
  13. Magu

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    Kweli wewe ndo mbumbumbu!! Kwani katiba siyo sheria? Elimika ndg Katiba pia ni sheria na ndo mana inaitwa sheria mama. Asante ni hilo tu
  14. Magu

    Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

    Ukisema tufuatilie CV za wabubge wetu mbona wengi ni matatizo!!! Wengi wana elimu ndogo na wengine wameunga unga sana. Najaribu kujiuliza hivi CV katika tovuti ya bunge ni kwamba zimekosewa au ndo za ukweli ambazo ndo wabunge wenyewe waliwasilisha wakati wa kuomba ubunge ili ziwauze kwa...
Back
Top Bottom