Recent content by magrethgeorge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

    Acheni kumpa kichwa huyo misa ati pambana utashinda? Kichwa box yule ukimpa hata milioni mia ukimtembelea baada ya miezi mitatu kabaki na laki mbili hata asset hana...yule bibi anamanage biashara anajua nin anafanya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatangaa rasmi kuanzisha uhusiano na Israel

    Muulize Huyo aliyekua mtoa adhan kipnd cha mtume alikua na asili gan
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake usije ukajisifu eti kisa unatongozwa mwaka mzima, hebu wajue wanaume hapa!

    Mwanaume ni msiri sana sasa wew Nina mashaka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzama chumvini, nafikiri sio salama. Hata wao wanawake wanajua hilo!

    Kunanuka harufu ni Kali sana daah
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Ila ni come ni ngoma Kali kiukweli mim naikubali yaan wametulia zile vocal
  6. M

    JamiiForums Tanzania Angalieni Star tv live NOW!

    Wakristu watagawanyika makundi 72, wayahudi makundi 71, na waislam makundi 73 hayo ni maneno yalizungumzwa na Mtume Muhammad (SAW) miaka ya nyuma sana tuwe makini jmn naona hizi ndio zama
  7. M

    JamiiForums Tanzania Njoo tuongee ndio Kipindi bora cha TV hapa Tanzania

    Kipindi n this week in perspective
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Chozi langu kwako Hayati Mwalimu Nyerere

    Du ni kweliii ilaaaa inaonekana umeandikaa kwa uchungu sana
Back
Top Bottom