Sisemi kuwa serikali haitaajiriila ni kwamba serikali ina uhaba mkubwa wa Fedha...Viinua mgongo, fedha nyingiwanazodaiwa na waheshimiwa madiwani, waheshimiwa wabunge, kugawana fedha zaESCROW...ndizo zinawafanya hata wafadhili kutoifadhili Serikali yetu.....Inawezekana hata mishahara ya baadhi ya...
Tujenge shule zetu wenyewe.... Serikali inagundua ilifanya kosa mapema kugawana hela za kwenda kununua mboga bila kuangalia kama waliwasomesha watu wengi na walihitaji kuwaajiri. Ni tatizo kubwa kwa nchi inayoendelea kama yetu ambapo watu wengi hawana kipato cha kuwawezesha kufanya lolote.
sijaona alieongea la maana hapo. nilifikiri tangu haya yaanze kuna mtu ambae ameshawahi kufikiri ni kwanini na akaja na HOJA yenye kuelimisha na kutoa suggestion. lakini mmeonesha udhaifu mkubwa san. kiakili na kila kitu.
Hakuna kitu kama hicho labda kama na wewe ni mmoja wao. na katika hili naomba tuelewane, POLISI wamekuwa mstari wa mbele katika kuvunja sharia za nchi hii. wananchi wamekuwa hawana imani nao. Naomba usijaribu kuingiza siasa katika hili... speak of the reality
kuna mtu ambaye MOYO wake ushawahi ku appreciate kwamba anampenda NDUGU yake, kwamba inafika kipindi yeye mwenyewe akubali kwamba kweli anampenda kuliko ndugu wengine achilia mbali na undugu wa damu?
Mh km ndo hvi,there must be a problem with system and attendants.,ni kwa nini hawakuangalia suala zima la usalama?katka haya mambo ni lazima kitu cha kwanza cha kuangalia ni usalama wa kutoingliwa na watu wengne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.