Recent content by magolanga

  1. M

    Updates: Uzinduzi wa mafunzo ya viongozi wa CHADEMA na timu za ushindi uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Wakuu. Muda huu ukumbi wa PTA hapa viwanja vya sabasaba kuna tukio kubwa sana la uzinduzi wa mafunzo ya viongozi wa chama na timu za ushindi kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015. Mpango huu unaanzia kanda ya Pwani ambapo viongozi wote wa chama na serikali za mitaa wamejumuika kupokea mafunzo...
  2. M

    Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

    Nilidhani una akili timamu kumbe la hasha!!! wewe ni chizi .... tena chizi asiyejitambua..... Siku zote mtu mwenye akili timamu ni yule anatetilia mashaka mambo anayoyaamini, ni lazima ujiulize kwaza kabla hujafiria kuandika ujumbe wa kipuuzi kama huu. Kwa hakika hata chizi anakuzidi uwezo wa...
  3. M

    Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

    Hayo ni matatizo ya siasa za kurithishana kutoka kwa wazazi.... ni aibu kwa kijana kama nape kuwa na fikra duni kiasi hicho uzeeni lazima awe mchawi huyo.
  4. M

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Namuombea kwa jina la YESU apone mara moja na Ushauri wangu aachane na magamba aje CHADEMA kuungana na majemedari wengine kwa vita dhidi ya ufisadi
  5. M

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Tunamwombea apone haraka jemadali wetu, USHAURI
  6. M

    Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

    Hicho ni kisiki cha mpingo kama Mkapa kachemsha kwa Kasulumbai na Suzan Kiwanga watamuweza Zito? CCM maji ya shingo kazeni buti CDM jimbo lenu hilo
  7. M

    Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

    BWANA yesu aliwahi kusema yaacheni magugu yakue pamoja na ngano utafika wakati wa kuvuna ndipo mkulima atabagua magugu na ngano. haya sasa yamefika wapi? Big up Mwenyekiti wewe ni ngano safi achana na mgamba jiunge na majemedari wa magwanda
  8. M

    Diwani wa CHADEMA aliyefukuzwa Arusha ajuta

    Giza haliwezi kuchangamana na Nuru, siku zote haki ya mtu haipotei isipokuwa huchelewa tu! Wananchi walikuamini Ras na wewe ukawapa kisogo basi hayo ndiyo malipo ya usaliti na usipotubu kwa wananchi waliokupa kura dhambi hiyo itakutesa kama JK anavyoteswa na dhambi ya kumchafua Salim (The...
  9. M

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    NABII mmoja katika Biblia alisema maneno ambayo napenda uwe ufunguo wa majibu yangu kwa mtoa hoja hii. Nabii huyo, alisema: "Usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana naye."Na pia: "Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye hekima mbele yake mwenyewe."...
  10. M

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Wanajamvi nawaomba tusubiri hayo atakayosema Mbowe ndipo tujadili, sasa hiv ni kama tunatawza kabla ya kun.....................a
  11. M

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    The oroijino Komedi mnajishushia hadhi yenu kwa kutumiwa hasi na CCM, jueni kwamba umaarufu wenu unashuka na kupoteza mvuto kwa wapenzi wenu kama ilivyokuwa zamani. Kaeni chini mtafakari kisha mjiulize ni Watanzania wangapi wanaichukia CCM kisha idadi hiyo mtoe kwenye hesabu yenu ya zamani kabla...
  12. M

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Mbona wmejaza watoto tu na si watu wazima?
  13. M

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Tatizo sio nyumba moja bali ni udini wa CCM, wanawatumia waislam kuwagawa watu wa Igunga hilo tumeliona wazi kupitia Mwigulu akitoa michango katika misikiti na kuwashawishi wachungaji kwa rushwa" lakini wanapoteza muda (It is too late) Tumechoshwa na magamba
  14. M

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Njama za CCM zimeanza ili kutoa vitisho kwa watanzania kama ilivyo kawaida yao. Kama wameshindwa kujenga hoja jukwaani watuachie CDM tushawishi wananchi na sio kuleta propaganda zisizo na tija kwa taifa. Watanzania wa Igunga hawataki kusikia visingizio bali wanataka kuambiwa kodi zao zimefanya...
  15. M

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Kushutumu chama fulani kimefanya ni kuingilia mahakama kazi yake ya kuhukumu, wana jamvi wenzangu JF Hebu acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake Eti! CHADEMA........ Mbona hamkusema KUbenea alipomwagiwa tindikali? Isitoshe CCM walipeleka mafunzo vijana wao wa Green guard Sherui kwa wiki...
Back
Top Bottom