Baada ya mikakati ya lipumba,slaa na twaweza kugonga mwamba.....wameamua kuja na hili jipya nalo. Hivi hizo pesa zote mnazozitumia kupanga uharamia wote huu si mngewapelekea watoto wanaoishi ktk mazingira magumu. Sasa mi kama ustaadhi na maalim wa msikiti wa al anur nasema hapa hadanganywi mtu...
Huu ni mshumaa uliozima ghafla.....wala sitaki hata kuamini. Eee mungu tupe basi hata siri ya siku ya kuishi kwetu kwani twaweza japo kidogo kujua kipi tukifanye na kipi tukiache. R.I.P mtoi.......we won't see U anymore.
Tusaidie pia kuidondosha hiyo kura yako kwa mbunge wa ukawa.....kwa diwani unaweza kukienzi chama chako. Utakuwa mwana mageuzi wa kweli kwa kufanya hivyo.
Mbowe weeee......mbowe.sioni mfanowe. Wewe ni icon ktk siasa za afrika. Popote ulipo tutakukumbuka........huna mfano hapa tz.....uanganisha wtz ktk kujikomboa kutoka kwenye minyororo ya majambazi ya kijani.
Mkuuu......hii ndo ajabu ya nchi hii na watu wake. Walio wachafu wanaonekana wema na waliowema ndo wanaonekana wachafu na wezi wakubwa. Kwa haya wtz tunastahili kuingizwa kwenye the guiness book. Ama kweli baniani mbaya ila kiatu chake dawa......
kabla ya hapo kolimba je?!! haidhuru amrani kombe nae vipi?! Basi kama itakupa taabu mfikirie mwangosi,mwenyekiti wa mtaa/kijiji cdm-arumeru na marehemu pamoja na wahanga wa mauaji ya soweto na kama itakera sana jaribu pia kuvuta fikra za ulimboka na kubenea......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.