Waliokuwa madiwani wa CCM Arusha Mjini, wahamia CHADEMA

Waliokuwa madiwani wa CCM Arusha Mjini, wahamia CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Tuko kwenye mkutano wa waandishi Wa Habari na Mbunge wa Arusha Mjini kupokea madiwani Wa CCM walioamua kukihama Chama cha Mapinduzi(CCM) pamoja na Makatibu wa kata.

========Update===========

=Wa kwanza ni Diwani wa Moshono Paul Matsen anahamia CHADEMA

=Katibu kata wa Lemara na Katibu wa Vijana pia Wa wamehamia...

=Lema anasema CCM imekufa anasema orodha ya mabaolizi wanaotaka kuhamia Chadema ni 956 na Leo tumepokea Katibu Wa kata Terati, Katibu Wa vijana na afisa mtendaji Terati...

=Anasema CHADEMA Ni sawa na msikiti au kanisa ambalo Ni kukusanya waovu na kuwafanya wasafi..

=Anawaambia ndani ya CHADEMA hakuna mkongwe bali inawaadilifu hivyo hata nyie mnaohamia kama mnauwezo chukueni fomu ila msiwapuuze mliowakuta kumbukeni chama hiki kimejengwa Kwa jasho, damu...

=Simon Mosses Mollel Katibu kata ya Terati amesema amehama chama cha CCM baada ya kuchoshwa na machafu ya CCM kama kuibia watu, uvunjifu wa haki, mfano kuhalibu mikutano ya chama cha CHADEMA Kwa kuwashawishi wananchi Kwa kuwagawia sukali, unga...n.k
 
Tuko kwenye mkutano wa waandishi Wa Habari na Mbunge wa Arusha Mjini kupokea madiwani Wa CCM walioamua kukihama chama cha majangili CCM pamoja na Makatibu wa kata.

***Update Zinakuja***

Wa kwanza ni Diwani wa moshono Paul matsen anahamia cdm

Tuletee hayo matukio yote na husisahau picha maana kuna upande wa pili wasiyopenda kuamini
 
Tuko kwenye mkutano wa waandishi Wa Habari na Mbunge wa Arusha Mjini kupokea madiwani Wa CCM walioamua kukihama chama cha majangili CCM pamoja na Makatibu wa kata.

***Update Zinakuja***

Wa kwanza ni Diwani wa moshono Paul matsen anahamia cdm
Crashwise hii sasa sifa! Kwa nini hamna hata kahuruma kidogo? Najua ukitaka kuua kenge lazima umpige mpaka atoe damu, lakini nyie mnakata mpaka kichwa?
Mnadhani Nape huko aliko hata hamu ya chakula anayo asikiapo haya mnayofanya? Tunataka CCM kijekuwa chama kikuu cha upinzani nyie mnakiua kabisa ili TLP ndio iwe opposition? Ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:

Wangehama madiwani nchi nzima.
 
Last edited by a moderator:
Tuko kwenye mkutano wa waandishi Wa Habari na Mbunge wa Arusha Mjini kupokea madiwani Wa CCM walioamua kukihama chama cha majangili CCM pamoja na Makatibu wa kata.

***Update Zinakuja***

Wa kwanza ni Diwani wa moshono Paul matsen anahamia cdm

Crashwise mnataka kumuua Nape na genge lao la wahuni kwa ugonjwa wa moyo, speed inayokwenda nayo punguzeni Chadema, Arusha futeni kijani na njano ya majambazi lakini tuachieni rangi yetu ya yanga na mashabiki wake.

Ngoja ni cc buku 10 10 wa Lumumba Lizaboni FaizaFoxy Ruttashobolwa Chilisosi All TRUTH Elungata masopakyindi Ibambasi Ngoshanyi
 
Nasubir jumapili wakat watanzania watakaposhuhudia nchi ikipasuka pasuka
 
Tuko kwenye mkutano wa waandishi Wa Habari na Mbunge wa Arusha Mjini kupokea madiwani Wa CCM walioamua kukihama chama cha majangili CCM pamoja na Makatibu wa kata.

***Update Zinakuja***

Wa kwanza ni Diwani wa Moshono Paul Matsen anahamia CHADEMA

Afadhari tafarijika,haiwezekani CCM watula.......ti bila hata mate.
 
Back
Top Bottom