Tanzania ina Wananchi zaidi ya Milioni 50+ ila cha kushangaza katika miaka zaidi ya 60 ya Uhuru, nahisi Koo hazizidi 300 zinazoongoza nchi...ni kitendo cha Wao kurithi(shana) na kubadiri(shana) tu... inachekesha na kuhuzunisha.
Tusio na ajira na hatujui Ni lini tutapata ajira, tunakuangalia kwa jicho Kali Sana...tunatamani tukutukane Ila Sheria za jukwaa hazirihusu.
Acha basi mi nikushauri kwa kuzingatia Sheria za jamiiforum.
Nakushauri nenda kafanye kazi.. miaka miwili Ni mingi Sana endapo utafanya kazi kwa umakini...
Yupo Dodoma mwenye uhitaji Boss, ni mtaalamu wa Computer ila sio mtaalamu wa Movie, ni mtaalamu wa mimala ya simu mitandao yote kwa 100%. Ila hana ndugj Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.