Recent content by Magobe T

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    1. Yesu alifundisha reconciliation. Kuna sehemu nyingi zinazoonyesha fundisho hili. Mfano, alipofundisha Sala ya Baba Yetu..."utusamehe dhambi zetu kama na sisi tunavyowasamehe waluotukosea" (Mathayo 6:12; Luka 11:4-5). Luka 6:37 anasema "samehe, nawe utasamehewa." Kabla ya kifo chake msalabani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika Namba 6 Kwa Utawala Bora kusini mwa Jangwa la Sahara

    Kwani nimekubishia, kiongozi? Hata mimi ripoti hizi nazitumia kuonyesha maeneo ambayo tumefanya vizuri, na maeneo ambayo hatujafanya vizuri, lakini tunaweza kuyaboresha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika Namba 6 Kwa Utawala Bora kusini mwa Jangwa la Sahara

    Kwenye ripoti kama hizi, mimi huwa siangalii tu Tanzania imekuwa ya ngapi, huwa naangalia pia ime'score' kiasi gani katika kila 'pillar' iliyotumika katika kupima overall rank. Mfano, kwenye ripoti hii, nchi 120 zilifanyiwa utafiti. Ukifuata idadi ya nchi zilizofanyiwa utafiti ukagawa kwa 2...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Weka data, kiongozi. "Maneno matupu havunji mfupa."
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pongezi INEC Kusawazisha Uwanja Tenge kwa Wagombea Urais Kufanania

    Kwa maoni yangu, tatizo ninaloliona, na linalojitokeza mara nyingi ni kutofanya "first things first". Matokeo yake ni kupata ufumbuzi wa tatizo lisilo tatizo halisi. Shida iko hapa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Mtu mkimya ana Nguvu kuliko mtu mwenye kelele

    Inategemea ni katika nini, na katika mazingira gani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wengi bado hawajaelewa maana ya kuunganishwa NIDA-INEC-CCM, Mwabukusi aelimishwe

    Lakini anachokisema Mwabukusi "kisheria" ni sahihi. Sheria ni kitu kingine, amejibu vizuri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 wakati Chama Kikuu cha Upinzani Kimewekewa Vikwazo Mahakamani ni Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Uroho wa madaraka. Kuna watu hawati kuachia madaraka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu yangu mazito na yenye hoja nzito kujibu hotuba ya Askofu Gwajima iliyotolewa Agosti 25, 2025 Usiku

    Kuna hii short story by Fr Anthony de Mellow (a Jesuit priest) (alifariki in the late 1980s): The disciple asked the master, "Where's God?" "He's right in front of you," replied the master. "Why can't I see him?" asked the disciple. "Why can't a drunkard find his home?" asked the master in...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki gani walifunga?

    Kwani kusali na kufunga maana yake ni nini? Mfano, kwani wakati wa uchaguzi ni Watanzania wote hupiga kura? Jumapili ni Wakristo wote husali? Kwenye mikutano ya kisiasa ni wanachama wote wa vyama vya siasa huhudhuria shughuli au mikutano ya kisiasa? Nataka tu kukuonyesha kama ulikuwa na baadhi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Recovery hutokea taratibu. Keep it up!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Tuko leo kama tulivyo/au tumepiga hatua tuliyofikia kwa sababu watu wengine walijitolea kwa ajili yetu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Kwani wewe ukisema jambo leo inakuwa ni kwa sababu hata huko nyuma uliwahi kusema? Na je ikitokea hujawahi kusema, ndiyo kusema usiseme tena? Is that the type of reasoning are you advancing?
Back
Top Bottom