Recent content by MAGO

  1. MAGO

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    mbona husemi wenye pesa zao kwenye mabenki ipo siku watalia.. UTT/BOT bond siyo DECI kuna sheria za fedha na usalama wake pamoja na Bima.. Pia ni njia ya kuhifadhi pesa na kuongeza kipato kwa wakati mmoja.. usimamizi wa biashara si rahisi kwa kila mmoja ila pia mzunguko wa biashara unaweza usiwe...
  2. MAGO

    JamiiForums Tanzania Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

    Ndugu, unashindwa kabisa kuelewa kilichotokea. Malipo hufanyika baada ya idadi fulani ya vifo kwa kuua... Ukipata i.e vichwa tisa unalipwa.. Chama kipi hicho cha maiti kuwekwa chini ya uvungu wa kitanda... Jaribu kusikiliza kwa umakini ufaham wako upanuke
  3. MAGO

    JamiiForums Tanzania CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    Yanga ana nafasi kubwa ya kuongoza kund A, uwezo wa Yanga kimataifa uleimarika maradufu, wachezaji wake wengi wanayajua haya mashindano vyema.. Team zote za kundi A hazina huo uzoefu wa karibuni, mshindani kwa Yanga atakuwa Mazembe tu.
  4. MAGO

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasomi wa Jiografia na Fizikia wenye akili zao, kama ulienda shule kukariri pita mbali

    Ndege zina paa within earth spheres... Hazifiki kwenye space so ni part ya dunia, elewa zones za dunia......
  5. MAGO

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Aibu kubwa sana miaka zaidi ya 60 sehemu muhimu kama kituo cha polisi kinahali mbaya kiasi hicho?? Kajengo kamechoka sana
  6. MAGO

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Tafuta pesa, ni umaskini bado unakusumbua
  7. MAGO

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kumkinai mkeo

    Bandiko la hivi kwa great thinkers unapaswa kuweka nn sasa kifanyike.. endelea kujifunza uandishi mzuri wenye tija
  8. MAGO

    JamiiForums Tanzania Tanzania huwa kuna shida gani katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri?

    Ndiyo maana mambo mengi hupindishwa kwa kivuli cha alishauriwa vibaya... Umenena vyema na wenye akili wataelewa, huwezi simamia sector/wizara kwa ufasaha ambayo ww mwenyewe huijui vyema structure na mianya yake
  9. MAGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usibeti kwa majina ndugu, Brighton form yao si ya kitoto
  10. MAGO

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukishinda pesa kama hii inalipwa kwa njia gani??
  11. MAGO

    JamiiForums Tanzania Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

    Hakuna kosa, wao wameeipoti wasiwasi wao isije kuwa wanaishi na jambazi sugu mtaani, uchunguzi umefanywa na polisi na hao jamaa hawakumtuhumu moja kwa moja..... Wakihukumiwa wananchi hawatakuwa tena na uhuru wa kuripoti pale wanapokuwa na maqhaka na watu ama kikundi cha watu
  12. MAGO

    JamiiForums Tanzania Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

    Itoshe kusema hujakomaa
  13. MAGO

    JamiiForums Tanzania Nimeacha nyumba yangu kwasababu ya ndugu

  14. MAGO

    JamiiForums Tanzania Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Matajiri wote wamefungamana na chama tawala, nani atakuwa na huo uthubutu
Back
Top Bottom