Recent content by Magnumpi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video ya Alicia keys na Swizz beats Wakicheza wimbo wa Meja kunta ft Im lavalava Wanga wabaya

    Nani asiemjua swizz on the beats alieproduze nyimbo ya C breezy na lil wayne "I can transform ya"? Labda kama mtu ametoka burigi huko ndani ndani ndo hutaweza kumjua.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mistakes you cant take back...

    Nyuzi za kujuta kusoma zimejaa kipindi hiki cha serikali ya awamu ya tano 😂.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kurudisha BK

    Amina
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kurudisha BK

    Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake 😂. Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya. Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken No More!

    Somehow you may be right lkn u don't know me personally. Uliona nyuzi yangu ya heart broken? Trust me nikikwambia i have moved on. sawa moving on is not a destination it's a journey. Hapa nilipofikia I'm proud of myself. I used to cry everyday , i used to take antidepressants just to...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken No More!

    Hongera! Life goes on
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken No More!

    Sijawahi kuliwa kimasihara na Ex.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken No More!

    Mambo zenu wakubwa shikamoo! Kama mnakumbuka takribani miezi miwili mitatu nilikuja hapa na thread ya kulia lia sijui heartbroken sijui nini mambo kibao yaani. Aliesema time heals all wounds namtafuta nimnunulie hata peremende asee maana alikuwa very right. Yaani mimi Magnum hata sikumbuki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken. Again!

    Noted. Thanks
  10. M

    JamiiForums Tanzania Heartbroken. Again!

    Yes. It wasn't easy but I'm almost there.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata msaada wa kazi

    Sky Eclat, Ahsante. Swali jingine how do I present what I want without receiving the word NO . Mfano yeye ni mtu mkubwa BOT na mm nimesoma maswala ya biashara how do I get him to give me a job there?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata msaada wa kazi

    iMind, Thank you!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata msaada wa kazi

    Habarini humu ndani, Aisee niende straight to the point. Warembo humu ndani naombeni mnipe tips za kudanga. Maisha ni magumu nimesoma nna ka bachelor lakini naona sitaweza kutoboa. Recently nimepata connection na vigogo kadhaa lakini sasa sijajua naanzaje kuomba favors za hapa na pale I don't...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha X-ray chapotea, wafanyakazi waswekwa ndani

    Hakuna.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha X-ray chapotea, wafanyakazi waswekwa ndani

    Wafanyakazi wa Kitengo cha Radiologia katika Hospitali ya Rufaa ya Mlima Meru, Arusha waswekwa ndani mchana huu baada ya Mganga Mkuu wa hospitali kuwapa muda wa kukitafuta kifaa hicho mali ya walipa kodi kinachokadiriwa kuwa na thamani ya Tsh millioni 10. Wiki mbili sasa hakuna huduma ya X-Ray...
Back
Top Bottom