Kifaa cha X-ray chapotea, wafanyakazi waswekwa ndani

Magnumpi

Member
Oct 4, 2019
68
172
Wafanyakazi wa Kitengo cha Radiologia katika Hospitali ya Rufaa ya Mlima Meru, Arusha waswekwa ndani mchana huu baada ya Mganga Mkuu wa hospitali kuwapa muda wa kukitafuta kifaa hicho mali ya walipa kodi kinachokadiriwa kuwa na thamani ya Tsh millioni 10.

Wiki mbili sasa hakuna huduma ya X-Ray katika hospitali hiyo na kupelekea wagonjwa wenye majeraha kukosa huduma na mtibabu. Wengi ambao ni watu wa hali ya chini kabisa hawawezi kumudu gharama za hospitali za binafsi, wanateseka sana.
 
hv hzi mashine hawawezi kuzi track?? maana navojua mashine yeyote ile yenye electromagnetic inaweza kutrackiwa na kujua location yake
 
Back
Top Bottom