Recent content by Magita

  1. M

    Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Yani mimi chanzo nilimeza amoxcillin na panadol lkn nilimeza hizi dawa baada ya kuona mwili unaumwa, hasa ktk viungo nikaenda AAR Hospital, wanaona sina ugonjwa wowote, kurudi nyumbani nikawa kuchoka mara kwa mara pua zinakauka lkn sina mafua saiv sina sensing yeyote sasa kuanzia jana na leo...
  2. M

    Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  3. M

    Hotel nzuri ya kulala wageni Tanga

    Ahsante! Ubarikiwe Ndugu
  4. M

    Hotel nzuri ya kulala wageni Tanga

    Ahsante Unaweza kuwa na No. zao?
  5. M

    Hotel nzuri ya kulala wageni Tanga

    Habari, mwenye kujua hotel nzuri Tanga ya kulala Wageni (fees iwe kutoka 25,000 - 35,000 per night). Ahsanteni Nitasafiri kesho for 3 days.
  6. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Tungeanza kuwasiliana mapema nisingekwambia uende agha Khan ningekwambua ununue dawa na MASHARTI tu
  7. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Nitumie namba yako nikupigie. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao haukawii kupokea dawa na kupona lkn watu hawaponi sababubya KUKIUKA MASHARTI, mfano hio X-ray uoiopiga OGB/umeiita Endoscope ni nzuri unaweza kuona vidonda ktk utumbo mpana Doudenum au X-ray ya Barium meal. Ok call me
  8. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Vidonda vya tumbo watu hawaponi kwasababu ya KUKIUKA MASHARTI. Mimi niliumwa vidonda vya tumbo kutoka 1999 Hadi 2006, nikapona, nililazwa Hindu Mandal. Nilichogundua ktk ugonjwa huu baadhi ya madaktari wanashindwa kutoa MASHARTI kwa mgonjwa wa vidonda. Mfano mtu amemeza sawa za vidonda, labda...
  9. M

    Kufa kwa Uchumi Tanzania: Maonesho ya biashara ya kimataifa ya Sabasaba yageuka kuwa maonesho ya shughuli za Taasisi za serikali

    Ila nakuonea huruma, mimi salary yangu nalipwa vizuri mno lkn naona maisha ni magumu kwa jinsi ninavyoona watu wanavyopata tabu halafu wewe less salary unaona poa, kweli tusali sana
  10. M

    Uchambuzi na maoni yangu juu ya kilichosababisha ajali ya Ethiopia Airline, si lazima kuwa na black box kuujua ukweli mchungu huu

    Na ukashangaa msomi kama huyu na hata kazi hana, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

    Nani kakwambia anaumwa? Hio picha ya zamani mwenzako anatangaza ingili hadi jana jtano. Wee kalaga baho na umaskini wako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Mbona unachangia MWENGE Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Hospital yeyote Ultra sound ni kama 18,000 ktk hospital.za serikali ingawa hii xray inaona tu dalili ya vidonda piga Xray ya BARIAM MEAL AU OGD/ hiki ni kipimo cha xray ya mpira ambao unamezeshwa tumboni Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Kwa tukio hili na mazingira ya kesi hii kama ni kweli, Mungu hawezi kumuacha kila muhusika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom