Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Mzizi mkavu je mtu mwenye typhoid akinywa mkojo wake ili atibu vidonda vya tumbo ineeza kumletea tabu?
Ndio Akinge (Urine) wake awe anakunywa kila Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa wiki moja aende kupima hivyo Vidonda vyake vya Tumbo vitakuwa Vimekwisha kauka na Matatizo yake yatakuwa yamekwisha nasema kweli simtanii hiyo dawa imewasaidia wengi.Kabla ya kunyw a:Mkojo wake akaupime hospitali je mkojo wake hauna maradhi yoyote yale? ndipo anaweza kutumia kwa kunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzizi mkavu je mtu mwenye typhoid akinywa mkojo wake ili atibu vidonda vya tumbo ineeza kumletea tabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kani uwe na maradhi ya Homa ya matumbo aka typhoid kisha unywe mkojo wako. Usifanye hivyo Dawa ya kutibu maradhi ya Vidonda vya Tumbo ninayo ukihitaji nitafute nipate kukutibia utatumia siku 21 na utapona kabisa vidonda vyako vya Tumbo. Ukihitaji dawa yangu wasiliana na mimi kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Wacha niulize machache kwa faida ya wengi kabla sijaja PM..
Kuhusu check up nimeumwa sana na nimepima kila kitu mpaka na endoscopy.So sina magonjwa yeyote..

Kama nakunywa dawa za vidonda mkojo wangu hauwez kua na effect yeyote...?
Kama tiba ya mkojo ni ya uhakika kuna haja gani ya kunywa hii dawa ya siku 21???

Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji zipo zilizonipa nafuu ila sikupona kabisa na zipo ambazo nasema ni kama nimetapeliwa hazijanisaidia kabisaaa.Sasa swali langu nikinywa hio dawa ya siku 21 haikunisaidia inakuaje???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una Unaweza kunywa Mkojo wako kwa siku 10 kunywa huo mkojo wako. Ila uhakikishe Mkojo wako kabla ya kunywa hauna maradhi. Uamke asubuhi ukojoe mkojo wako kwenye chupa ndogo yenye mfuniko kisha upeleke hospitali ukapimwe je huo Mkojo wako unaotaka kunywa hauna maradhi yoyote yale? Kama hauna maradhi Mkojo wako siku ya pili yake asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kinga Mkojo wako kipimo cha Glasi Moja kunywa asubuhi kabla ya kula kitu kila siku kwa muda wa siku 10 kisha nenda kapime Vidonda vyako vya tumbo utakuta hauna tena hivyo Vidonda vyako vya tumbo umepona kabisa.
 
Pole mkuu mimi niliumwa vidonda ya tumbo zaidi ya miaka 10 lkn tangu 2007 hadi sasa 2017 nimepona nakula kila kitu chenye gas n.k. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao ni rahisi kupona punde unapotumia dawa na unapofuata mashart. Nenda Hospital yeyote kapige X ray ili ujue aina gani ya vidonda vyako ambayo vipo. Kuna xray OGD/ Endoscope hii ni Xray unaingizwa mpira tumboni ili iweze kuona wapi vidonda vipo au kuna Xray ingine inaitwa Barium Meal hii pia itagundua wapi vidonda vipo ni xray ambayo unapigwa ukiwa uchi.
Vijijidudu vya vidonda vya tumbo vinaitwa pylori hawa wadudu wanashambulia tumbo, ndio maana unapata maumivu makubwaa sana hasa vidonda vikiwa ktk utumbo wa dudenum.
Dalili:
. Choo kikubwa kinakuwa kama cha mbuzi
. Unaweza kaa siku hata 5 bila kupata haja kubwa.
. Kuwa na hasira, kusikia kiungulia mara kwa mara
. Kusikia maumivu chini ya chembe
Dawa:
Emaprazole au Lamsoorazole au Gastrocid ya maji au Metronidazole.
KAMA UPO VIZURI KIFEDHA.
NUNUA dawa inayoitwa HELIGO KIT hii dawa ni nomaa inauwa wale wadudu wa pylori.
Masharti yake:
. Acha kukaa na mawazo
. Acha kukaa na hasira
. Acha kabisa sex kwa miezi 3 hadi 5
. Acha kula vyakula vyenye asili ya gas, mafuta
. Acha kula nyama kavu kama samaki kukaanga, chipsi
. Baadhi ya Dawa haziruhusuwi kama Panadol.
. Acha kula mboga za kisamvu, majani kunde, majani maharage nk
. Acha soda, pombe, embe, nanasi wala juice.
Ukifuata MASHARTI VIDONDA VYA TUMBO UNAPONA.
"NITAFUTE NIKUSHAURI NISHAKUWA MUHANGA MIMI SAIV KILA KITU NAKULA"
Samahani mkuu.
Na mm naona nimeanza kupata dalili Kama hizo,Je hivyo vipimo vya kuthibitisha kwamba Nina vidonda vya tumbo vinapatikana wapi na gharama zake zikoje?
Na kingine napenda kufaham ni vyakula gani vinavyofaa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital yeyote Ultra sound ni kama 18,000 ktk hospital.za serikali ingawa hii xray inaona tu dalili ya vidonda piga Xray ya BARIAM MEAL AU OGD/ hiki ni kipimo cha xray ya mpira ambao unamezeshwa tumboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mrejesho wadau
Nilifanikiwa kwenda hospital moja ipo Njombe Makete inaitwa ikonda,nikapima vipimo kama inavyoonekana kwenye atachment hapo chini,ila sasa baada ya kupimwa kile kipimo cha camera ya kuingizwa tumboni kikaonyesha kwenye utumbo hakuna vidonda wala michubuko,lakini nikamuhuliza doctor sasa mbona tumbo uwa linaniwaka moto sana mbaka nakosa raha akanijibu kwamba inaonekana mwili wangu unazalisha sana Acid ndo inafanya tumbo liwake moto,nikapewa mavidonge lakini nimeyatumia sijaona utofauti nimerudi kwenu kuomba ushauri nitumie njia ipi kuzuia mwili wangu isizalishe Acid kwa wingi
 
Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo laki tisa watu wanaimendea bure utapigwa!
Vidonda vya tumbo havitibiwi na drugs/ chemical za hospital,
Unapona kwa kubadilisha eating life style tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Laki Tisa zote hizo za Nini? Mbona kupona haifiki hate laki tatu. Vidonda sio tishio Tena ,unapona kabisa ,mdogo wangu kapona na anakula vyote vivyokuww vinamsumbua hapo awali kabla ya kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulishapimwa ukaambiwa unavidonda vya tumbo... Hospital hakuna dawa ya moja kwa moja ya kuponesha zaidi zaidi utagewa tu dawa za kupunguza maumivu... Kuna baadhi ya vyakula inabidi upunguze au uache kula kabisa..laasivyo kila siku utakuwa mgeni wa daktari

Acha kula maharage, michuzi, vyakula vya ndimu au vilivyochachuka, pilipili.... Acha kunywa soda au bia... Vinywaji vya gesi....pamoja inabidi unywe maji mengi na mboga za majani kwa wingi
Cha umuhimu kula kwa wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom