Kuna baadhi ya wanaume wanafikiri mapenzi ni kitandani tu, wanashindwa kuwaandaa wake zao kisaikolojia kabla hata ya kufika kitandani. Haijalishi mmeishi katika ndoa kwa muda gani lakini kama upendo kwa mke upo hakutakuwa na udhuru huo. Imagine umetoka kumgombeza mkeo au umemjibu vibaya then...
Pole sana, ila ninajiuliza kwa nini nyie wanaume huwa mnakuwa wagumu kusamehe pindi wake zenu wanapocheat? Wewe hujawahi kucheat? Pia jaribu kuangalia sababu za mkeo kucheat.
Sehemu nzuri ya kuanika pichu ni kwenye kamba juani ili ikauke vizuri. Kama yupo kwenye nyumba ya kupanga nadhani haileti picha nzuri kuziacha wazi bali anaweza kuzifunika juu kwa kutumia kanga nyepesi na kuzibana vizuri na kibanio. Si vizuri nguo za ndani kuonekana ovyo ingawa ni muhimu zikauke...
JF inaweza kuwa inasaidia kuongeza mtandao wa wapenzi wenye wapenzi walio na wapenzi wenye wapenzi. Amekusaidia kuvunja mtandao huyo na inaonekana haikuwa mpango wa Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.