Tabia ya kushika / kuchungulia simu za waume / wake zenu muache!! Ohooooo

Kwa nini uogope na hutaki simu yako iguswe? Hapo ndipo imani na mtua huanza kupotea!
 
kuna mengi utayajua unaweza uwe unaishi na mwizi au jajusi ila kwa kuchungulia utakamata nani kibaka kubegube na ni vema kujua unaishi na nani nawakilisha mada kwa kuunga mkono kuchunguza muhimu binadamu wamekuwa wabaya sana now days mbaya sana
 
Kwa nini uogope na hutaki simu yako iguswe? Hapo ndipo imani na mtua huanza kupotea!

Kuna wengine hata kuishika simu tu yani ana changanyikiwa! Hapa na jiuliza mtu una ficha nini ambacho mwenzio hawezi kukiona au kukijua?

Huu ni mwanzo wa usaliti
 
Well said!
 
daima mimi ni muumini wa ukweli na uwazi,mke wangu ana haki ya kuchungulia simu yangu apendavyo...kwa kweli simu yake si kwamba nachungulia bali naangalia..mara nyingi jioni nachungulia jf kwa simu yake,mi natumia simu ya tochi haina intaneti so nipo huru nayo,na msg zikiingia wakati naperuzi jf huwa ananiambia nimsomee.siku nyingine anaweza kusahau simu zake ananiambia niende home nikamchukulie

nami siku nyingine naenda ktk umc nimesahau simu yangu yeyote namuuliza kama ipo home ananiambia ipo basi naendelea na kusherehesha mpaka narudi home,kifupi kama hauna mawaa suala la simu yako kukaguliwa au kuangalia its nothing

unaweza kuta kuna ya magumashi inakaa ofisini anakuachia ya nyumbani uhangaike nayo
 
Hahaha, leo!
Sina mbavu hapa. Wenzio tuna uzoefu wa investigation. Nikiona msg ya msiba silii wala nini na najikausha kama sijaona (ili tusijadili financials hehehe). Na simu za kisasa unaclick 'mark as unread'. Akiniambia twende kwenu nasema sina hela. Nadeeka afu ndo nalia. Kama unaona msg ya kuibiwa na unakaa kimya unafanya maamuzi, seuze msiba lololo

unapenda sana hii michezo ya kike dadangu inaonyesha!ila MUNGU akusaidie tu usijaribu kuwa 'mwizi',utatisha mbayaaa!
 
Kama mlikubali na kuapa mbele ya kasisi kuwa mu-mwili mmoja mnashindwa nini kushare simu zenu?! What is the mission behind?!

Hili nalo neno..mnafichana nn?mmependana na mshare kwa vyote...mm simu ya mume wangu siachi kuishika hata kwa dawa tena sio kwa kuibia naichukua mda wowote nikijisikia kuangalia yaliyomo na ya kwangu namuachia awe nayo free..
 
unaweza kuta kuna ya magumashi inakaa ofisini anakuachia ya nyumbani uhangaike nayo

mi ninazo nyingine 3 za m-pesa na tigopesa zinakaa ofisini.the point is...uaminifu na usafi wako ndio jambo la msingi na sio whether ana access au hana.by the way unadhani mahusiano ya co-workers unaweza ukayagundua kwa simu?kama ni msg wanatumiana kwa outlook huko ofisini.uaminifu ndio mpango mzima.
 
Ts not health kucheki cm y mwenzio bt we cnt deny the fact nowdays cm zmekuwa raha na tabu kwa mapenz... Unaweza tumia cm kama wamhis mwenzio c faithful n take further uchunguz usikomee kwenye cm tuu, unless u cn shre cm zenu kwan shida nn?!
 
Kwa nini uogope na hutaki simu yako iguswe? Hapo ndipo imani na mtua huanza kupotea!

Kuna wengine hata kuishika simu tu yani ana changanyikiwa! Hapa na jiuliza mtu una ficha nini ambacho mwenzio hawezi kukiona au kukijua?

Huu ni mwanzo wa usaliti

Well said Ruta, kama huna siri Y unahanya ikiguswa hyo cm? Hapo ndy unaaribu na mtu anaanza suspect vngne
 
Hii tabia inakera hata km mnapenana vp lkn bado kuna vitu private kidogo.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom