Watuambie kama nchi hii kwa sasa ni ya kijeshi? Haki zetu haziwezi kuporwa na yeyote bali zitacheleweshwa tu.Polisi mjue unapomtesa mtanzania wa Malya na wewe baba yako dada yako kaka yako sehemu nyingine ya nchi hii wakati huo huo ananyanyashwa na jeshi lako.Hakika usiku umesonga sana mchana...
Kati ya viongozi wa kiroho ambao huwa siwaelewi na huyu mmoja wake,hata kama ni kutii wa wenye mamlaka siyo hivi Zanzibar uchanguzi pigisu pigisu huta mskia akilalamikia haki,uhuru wa kujieleza uko kifungoni yeye ni kusifu maisha mazuri.Hajui watoto wa waumini wake wamerudishwa nyumbani hawana...
Nchi hii usimwamini kiongozi yeyote,Siro anaweza kuhongwa,wewe unaamini Prof Ndalichako anaweza kuhongwa? Kama anaweza leo kwenda KINONDONI kupiga kura za madiwani wakati yeye ni mkazi wa ILALA siyo kwamba unautumikiwa uwaziri kama rushwa kwake?PAMOJA NA HESHIMA YAKE YA KUONYESHA MAZOMBI,kumbe...
Tena wote nasikia ni wanachama wetu na uchaguzi uliopita huko Iringa na Dar walimwaga pesa ili Chama chetu kishinde kama alivyofanya Singasinga na Lugumi.
Hivyi kwa nini Marais ambao ni wakristo utasikia wanaomba msaada misikiti ijengwe na pia ofisi za BAKWATA tujengewe,sijawahi kusikia MaRais walio kuwa Waislamu wakiomba misaada ujenzi wa Misikiti wala Ofisi za BAKWATA,au wakumbuke upande mwingine ofisi ya askofu au kanisa lijengwe kwa nini?
Kaka yangu jana alikamatwa pale Kisesa Magu akitokea Mwanza mjini na gari yake ndogo Saloon Car.Wakamuuliza una Triangle akawapa,mara packing light safi ,yaani kila kitu safi swali likawa kwenye First Aid Kit mbona hana vidoge vya PANADOL akatakiwa alipe 30,000.Hii nchi inatupeleka wapi.Jecha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.