ustarabu ni kitu cha kujivunia,hizo ngono za hadharani unazozitetea NCHABIRONDA mbona sikuelewi! ujasiri huo unautowa wapi kwa utamaduni wa mtanzani? au unataka kusema ndo maporomoko ya heshima ndani ya jamii ya watanzani? ,
naomba kuungana nanyi kwenye huu mchakato wa kuelimishana, nimependezwa na michango mbalimbali ya wana JF nami nimevutiwa kushiriki mijadala mbalimbali inayoibuliwa na GT
asante!
Nenda tu kamtambulishe mwenzio ukimaliza hiyo shule yako kafungeni ndoa fastrer na sio kuweka visingizio, umri wote huo unahisi wazazi wako hawajui kuwa una rafiki wa kike? au unataka kutuambia nin?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.