Recent content by magesa5118

  1. M

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    Hii inaonyesha wazi kuwa kila wizi hujuma zinazofanyika bandarini ulikuwa una baraka za kiongozi/ viongozi waliokuwa serikalini tena ngazi za juu. Viongozi wa awamu hii inawabidi wavae uso wa nyani dume kupambana na hujuma zote hizi, otherwise kuirudisha nchi kwenye mstari wa uadilifu itakuwa...
  2. M

    Serikali ya Zanzibar: Uchaguzi wa marudio utakuwa Huru na Haki

    Hivi chama chochote cha upinzani kikishinda uchaguzi zanzibar kisiwa hicho kitazama baharini au kitafutika kwenye uso wa dunia tuliyo nayo? Au ccm ndio walio andikiwa na mungu kuwa wao ndio watakuwa watawala daima na milele kisiwani hapo? Mauaji ya raia 27 yaliyotokea kipindi cha uchaguzi awamu...
  3. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Serikali iliyo pita ilikuwa ya vunja mifupa kama meno ipo"*kula nchi* huo ndio uliokuwa mtazamo wake, watendaji yafanye mazuri au mabaya who cares!!! Isipokuwa wezi wa kuku na akina babu seya waliangaliwa sana kwa kuwa walijaribu kulia sahani ya mfalme. Uozo wote huu unao onekana sasa ulikuwa...
  4. M

    Wabunge CCM, hamkuona zaidi ya Chenge au mlipoteza fahamu?

    Ccm ni wafitini wakubwa katika nyanja zote, magufuli ana wakati mgumu katika utendaji wake, majipu anayo yatumbua yote ni ya wana ccm, kitendo hicho ni wazi kinanawafedhehesha mafisadi wa chama chake tawala, hivyo ni lazima watamjengea zengwe na fitina kubwa ya mwaka kumdhofisha, kinara wa...
  5. M

    Wabunge CCM, hamkuona zaidi ya Chenge au mlipoteza fahamu?

    Nape ni mbunge na waziri wa habari, je pia ni msemaji wa serikali? Kauli yake ya jana haikueleweka. Au anachukulia ule uropokaji aliokuwa akifanya akiwa ktibu mwenezi wa ccm ndio anauendeleza bungeni? Nadhani bungela sasa kwa mwelekeo huo litakosa heshima, sioni kama litakuwa na mwelekeo mzuri...
  6. M

    Tanzania ranked as the 8th most beautiful country in the WORLD!

    Conclusion hii inatuonyesha nikiasi gani tulivyo "WAPUMBAVU" na nchi yetu ni shamba la BIBI, Simuggling our wealth without beeing questioned difines the beauty of Tanzania!!! This is an insult to our nation.
  7. M

    Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

    Nadhani Memnbe yuko sahihi kuwa chanzo cha tatizo lililopo Zanzibar kwa sasa ni makosa yaliyo tokana na Jecha kufuta uchaguzi kwa hofu za kutokujiamini. Yawezekana pia nikutokana na hofu iliyomkumba wakati matokeo yanaendelea kuhesabiwa akaona bora afunike kombe mwana haramu apite. Kwa akili...
  8. M

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    "Uongozi ni kipaji" na kiongozo bora ni yule mwenye foresight, ni kiongozi mwenye uwezo wakufanya maamuzi magumu na yenye busara. Nimeguswa na kauli ya rais mstaafu JK kwa kumuunga mkono rais Magufuli kwa lugha ya kejeli kama ilivyo kawaida yetu wana ccm. Sikutegemea kama mstaafu JK angeweza...
  9. M

    Mwigulu Nchemba punguza wapambe ongeza washauri

    Mdogo wangu Mwigulu, unawasaidizi au unakundi la wapika majungu? At your level nadhani umri wako na elimu yako vinakuwezesha kufanya kazi zako binafsi bila kutaka wapambe. Labda unafanya hivyo kujijengea msingi wa kuwa mmoja wawapika majungu wakubwa by 2020. JITEGEMEE KIUTENDAJI NA KIFIKRA.
  10. M

    Swali la awali: Wana-CCM wenzangu, mbona tunakuwa kigeugeu na walaghai?

    "Chagua Magufuli usichague ccm", "Hapa ni KAZI TU", "Haki ya Mungu nasema sita yavumilia mafisadi na majizi".Kauli hizi zilikuwa zinatabiri maono na malengo yake pindi akishinda uchaguzi iwe kwa bao la mkono au kwa njia yoyote ile mradi ameshinda. Alijua majizi na mafisadi ni wana ccm sio...
  11. M

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Kama hujui usidanganye wana JF, CDF anamiliki kiamri command tatu land, air na navy na component ya JKT kama akiba. Cdf hana mamlaka ya kutoa amri kwa police kiutendaji. Tofasiri ya Jeshi ni " KUNDI LA MAPIGANO" lililopata mafunzo na mbinu za kivita katika medani kwa kutumia silaha kubwa km...
  12. M

    Umuhimu wa Rais kuwa mwalimu

    Tafakari mwenyewe alifanya nini. Je wewe umefanya nini? Utakuwa "mpumbavu" kama huelewi mwl Nyerer alifanya nini. Go back to school.
  13. M

    Msiba wa Mawazo: Rais Magufuli hata pole ya maneno imemshinda?

    SIM, nenda katubu ardhi uikanyagayo usiku na mchana inakungoja wewe sasa. "Mzoga ni wamnyama sio binadamu." Kama tofasiri yako binadamu mwenzio akiuwawa maiti yake ni mzoga basi nikuhesabu wewe kama Nyamlenge wa Intarahamwe.
  14. M

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Njomloli, kama imebainika wazi kwamba rais mstaafu JK alitumia vibaya ofisi yake na madaraka yake aondolewe kinga na apelekwe mbele ya sheria, huu utakuwa mwarobaini kwa viongozi kuogopa kufuja mali za umma. Rais anazurura huku nakule kama mbayuwayu!!! Kama Dr Magufuli anaweza kutumbua majipu...
  15. M

    DC Makonda 'amekiri' kuwa lilikuwa ni suala la kinidhamu, alikosea

    Bwana mdogo DC Makonda bado hajiamini, bado anazo njozi za kumpiga ngwara Jaji Warioba na akatunukiwa uDC, then anafikiri Rais Magufuli nae ataona amefanya kazi nzuri ampe uRC. Hii inaonyesha wazi kuwa watu wanapewa madaraka kwa njia za ushikaji au kutokana na kuchonga mdomo na majungu nasio...
Back
Top Bottom