Recent content by mager6

  1. mager6

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

    Basi ni gogo, hana manjonjo
  2. mager6

    JamiiForums Tanzania Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

    Potelea mbali Akija Rais
  3. mager6

    JamiiForums Tanzania Mtanisamehe kwa hili

    Una hoja nzuri, ni 40 Sasa sina gari ninakaz nzur, watoto wanasoma vizuri 6 mil ada kwa mwaka napenda magari sana. Lkn what's the priorities? Hujaanza kijitegemea kuna wadogo zangu walianza kununua magari baadae baada ya kuongeza watoto say 2,3 wakaondoa magari, sikuwahi kuuliza Sabab ni nn, ni...
  4. mager6

    JamiiForums Tanzania Mtanisamehe kwa hili

    Mkuu nipenda umeonyesha maturity..sina gari ila Nina uhuru. Nanapenda mwendokasi kuliko daladala
  5. mager6

    JamiiForums Tanzania Mtanisamehe kwa hili

    Mil 6 utanunua gari gani mkuu
  6. mager6

    JamiiForums Tanzania Usirudie Dhambi Lisije Likakupata Jambo Baya Zaidi

    Muongo sana wewe
  7. mager6

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

    Nakubaliana naweza, Mimi ni muislam namjua vizuri hyu bwana
  8. mager6

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

    Achs uvivu saidia wazee
  9. mager6

    JamiiForums Tanzania Usirudie Dhambi Lisije Likakupata Jambo Baya Zaidi

    Ahaa les hiyo zinaliwa
  10. mager6

    JamiiForums Tanzania Usirudie Dhambi Lisije Likakupata Jambo Baya Zaidi

    Mnavyoila pesa za waumini sio dhambi?
  11. mager6

    JamiiForums Tanzania Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Huu Uzi umewekwa kapun
  12. mager6

    JamiiForums Tanzania Tangu nauli zipande! Ni upande upi mwananchi amewezeshwa aendane na athari za bei ya mafuta? Hili fikirishi jibuni wenye 'D' za kutosha

    Mada inajieleza. Hapa nianze na mfanyakazi wa sekta ya umma, sekta binafasi mwisho mwananchi maskini. 1. Mfanyakazi wa serikali. Nurse doctors advocate teacher etc Ni wapi wanapata ruzuku. Kama mafuta bei ilipanda huko Mwezi Februari nauli wanapata wapi pale mia 500 ilihamia na kuwa 700? 1000...
Back
Top Bottom