Recent content by MAGEMBE ZACHARIA

  1. M

    Kwanini baadhi ya 'secretary' wengi hawaolewi?

    Nakubaliana na wewe! acha niendelee kusoma comments za wadau
  2. M

    Mkemia ni nani hasa?

    Kwa uelewa wangu ili uwe mkemia soma bsc. in chemistry. Japo mtu aliyesoma bcs. chemical and process engineering anaweza kuwa; ndo maana mkemia mkuu wa serikali kwa sasa Prof. Manyele amesoma Chemical engineering.
  3. M

    Mkemia ni nani hasa?

    Wasikuogopeshe, kama mkemia unafanya kazi sehemu nyingi mno hasa laboratory za viwandani. kwa mfano viwanda vya soda, vya bia, vya sukari, vya nguo n.k as long as there is lab
  4. M

    Majina ya waliokosea kujaza bodi ya mkopo

    OK, acha tusikie kwa waliosikia
  5. M

    Majina ya waliokosea kujaza bodi ya mkopo

    Habari za mchana wandugu, Kuna mdogo wangu kanipigia kaniambia eti kuna majina ya watu waliokosea kujaza yametolewa na bodi ya mkopo. nimetafuta vyakutosha sijayaona. Kama kuna mmoja wetu mwenye taarifa naomba anijuze, just a link will do! Asanteni
  6. M

    Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Umejibu nilichokuwa nawaza. Nikionacho hapo Huyo unayemuita mzazi mwenzio Hana hata chembe ya mapenzi na wewe. Kama uliweza kusavaivu toka mimba ya miezi 7 till mtoto Ana miezi 6 ambapo ndo kipindi kigumu zaidi, you can still do it now tena kwa raha zaidi. Chagua Uhuru, Achana na utumwa wa...
  7. M

    Business ideas (Bure)

    thanks. acha Nipige mahesabu. Ni mawazo mazuri
  8. M

    Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

    Hapo timua uyo hg coz kuna cku Huo useriuos utateyuka na utaishia kujuta Ningejua
Back
Top Bottom