Majina ya waliokosea kujaza bodi ya mkopo

Majina ya waliokosea kujaza bodi ya mkopo

Joined
Feb 9, 2013
Posts
12
Reaction score
2
Habari za mchana wandugu,

Kuna mdogo wangu kanipigia kaniambia eti kuna majina ya watu waliokosea kujaza yametolewa na bodi ya mkopo. nimetafuta vyakutosha sijayaona. Kama kuna mmoja wetu mwenye taarifa naomba anijuze, just a link will do!

Asanteni
 
topic hiyo yenye hayo majina ilikuwepo hapa jf tangu mwaka jana, kuna wapuuzi waliifufua sasa vijana waliopo jkt wenye simu wakaiona bila kuangalia tarehe ikawapanikisha wote mpaka wengine mtaani, majina bado, yatatoka tu,
 
nimekuelewa kiongozi
 
Kwan makosa huwa ni nin!!? Ata address ukikosea!?

Huwa watu wengi wanasahau kuweka sign page ya kwanza chini kabisa, so wanaitwa wakaweke sign, wengine wanasahau passport size kuzbandika, asilimia kubwa ya makosa huwa n hayo mawili
 
Nadhani website ya HESLB ni sehemu nzuri sana ya kunconfirm hizi taarifa za aina hii

Ukisikia tetesi na kama unaweza kuingia JF means unaweza pia kupita Loan Board kule ukajiridhisha
 
daah..mwenyew nlsahau kusain ndani..na nipo makini kufuatilia ila taarifa kama hzo sijasikia na kila cku naingia website ya heslb lakn cjaona kama wametoa majina..
 
daah..mwenyew nlsahau kusain ndani..na nipo makini kufuatilia ila taarifa kama hzo sijasikia na kila cku naingia website ya heslb lakn cjaona kama wametoa majina..

Ofcoz bado,coz page ya heslb haina tangazo lolote linalohusiana na hii ishu, so tusuburi
 
Back
Top Bottom