Recent content by magavya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Mkuu ataathirikaje wakati uchaguzi wake hautegemei kura zako?Unadhani kwanini tume inalalamikiwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Wewe ulikua unajua kua alisimamisha tu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Unaamini kura za vijana ndiyo zitampitisha? Wewe ni mgeni hapa Tanzania?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Kwa akili zako,unaamini huyu alipita kwa kura halali?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Hatakama serikali haiwezi kuajiri kila mtu,mbona kipindi cha JK ilikua desturi kila mwaka,lazima ajira zitolewe kwa wingi,huyu kwanini hafanyi hivyo? Anategemea nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kuwataabisha vijana kwa kuwanyima ajira au kuwawekea vikwazo hakukusaidii lolote

    Wewe utakua hujui lolote,unajua vyuo vikuu vinatoa wahitimu wangapi kila Mwaka? Halafu huyo unayemsifu anakuja kutangaza nafasi 3600 za walimu wa fasihii ya kiingereza,walimu wangapi wanabaki bila ajira?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dar: TPA yawafuta kazi watumishi 749 kwa kutokuwa na vyeti vya kidato cha nne

    Si hadi watake kuajiri?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

    Yawezekana mtoa maoni hana mshikamano na chama chochote cha siasa nchini,ila anakerwa na jinsi TBC ambayo ni chombo cha serikali kinatangaza kwakuegemea upande wa chama hawala kipindi cha kampeni,ilhali kodi zetu sisi tusio na vyama vya siasa pamoja na wenye vyama vya siasa. Anakerwa na jinsi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fursa haiji mara mbili

    Zitto sijui nanani huyo....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    Bei ikipanda mnasema serikali ya CCM imefanya jitihada kupandisha bei ili kumjali mkulima(mnatumia fursa hiyo kupiga siasa),bei ikiwa mbaya,hamtaki siasa,badala yake mnasema uhalisia kua tatizo ni soko,tena yule jamaa mbana ajira mkuu anajitapa kwelikweli. Tanzania hamna wachawi,haiwezekani CCM...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa korodani una uhusiano na ufanisi katika ufanyaji wa tendo la ndoa?

    Mkuu mi najua ngiri ndo mshipa na mtu akitingwa sana hutolewa kende moja... kama unauelewa nijulishe
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni maamuzi yapi ulichukua pale ulipogundua mchumba wako ana mahusiano na mtu mwingine?

    Yaani mimi au masela wengine wanaotaka kula mzigo kwa girlfriend wako,tunaweza kuwasiliana nae muda wowote na tukala mzigo kama kawaida,kwasababu hukaguagi simu wala huishiki.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni maamuzi yapi ulichukua pale ulipogundua mchumba wako ana mahusiano na mtu mwingine?

    Kwa hiyo saa hizi hofu ni kwa masela tu,siyo girlfriend, ni mwendo wakupiga tu simu na yeye mwenyewe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mali zifuatazo zinauzwa-Divorce settlement

    Ambao wanazaa nakuijaza dunia,wote wameoa nakuolewa?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mali zifuatazo zinauzwa-Divorce settlement

    Mkuu kasema unamtumie meseji privately.. una akili ya aje wewe?Halafu siyo mara ya kwanza kufanya upumbavu. Kwanini hukui? Nikwambie mara ngapi kuhusu mambo yako yakijingajinga?
Back
Top Bottom