Recent content by Magane

  1. Magane

    Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

    Tujifunze kutoa taarifa sahihi. Ni kweli katibu mwenezi katamka hivyo lakini hiyo kauli ni ya ccm na wala siyo yake. Kwamba ccm kimesema ... na hayo yamesemwa na mwenezi n.k.
  2. Magane

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Wasafi hawajawahi kuwa na kipindi hiki cha msumari wa moto.
  3. Magane

    Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

    Hajakaa kimya yeye alishauri ktk kesi hii mshitakiwa Mbowe awaondoe mawakili abakie yeye tu na yeye asijibu lolote huko mahakamani Nami namwuunga mkono Lisu.
  4. Magane

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Sawas Naunga mkono hoja
  5. Magane

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie .Apumzike kwa amani. Amina
  6. Magane

    Tulia Ackson: Nilishaumwa CORONA Mara mbili, watu wasidhani Mimi siijui

    Mbona wengi tu waliougua korona na wakajisolate wenyewe. Wengi nawafahamu. Jambo lenyewe liko so privately. Wengine hawapendi kuweka mambo yao public. Kumbuka kwamba yeye bado ni kijana na hivyo kinga yake bado iko juu. Nawasilisha
  7. Magane

    RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

    Hirizi kwani ni kitu gani. Ni imani tu ya kujikinga. Mapete ya ajabu ajabu vidoleni mwenu , bangili za shaba mikononi mwenu, na hata baadhi ya chain mnazovaa mashingoni vyote hivyo ni hirizi pia. Inapishana tu matumizi yake.
  8. Magane

    Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

    Kilio chatoka kwa wapigaji. Mwacheni anyoshe wizara hii ya afya. Mission yake ikikamilika rais ampeleke wizara ingine nako akanyoshe watendaji.
  9. Magane

    Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Mwacheni atekeleze majukumu yake. Ni mfuatiliaji wa karibu. Yafaa hata kuwa rais ajae. Hadangayiki.
  10. Magane

    Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

    Hivi purchase requisition from si imo kwenye mchakato wa ununuzi hadi kwa waziri husika. Inawawezekane fedha nyingi hivyo zitumike kununua gari pasipo approval ya wakubwa wake. Kuunda tueme ni matumizi mabaya ya rasilimali.
  11. Magane

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Mkinichagua nitaongeza mshahara wafanyakazi

    Ulisikia wapi........mtu anatafuta shuka asubuhi.
  12. Magane

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    For the first time in the history of Tanzania multy partisim politics,the opposition party might take over the position.
  13. Magane

    Je, ni kweli Serikali ya awamu ya tano imewajali masikini?

    Walimu wastaafu Halmashauri ya kilombero wa tangu 2016 hadi wastaafu wa 2019 achilia mbali wa 2020 bado kupata nauli za kuwarudisha makwao. Chama cha walimu mtusaidie kuna shida gani. Tumeduaa hatujui la kufanya.
  14. Magane

    Uchaguzi 2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

    Maskini dr. Anawaza connection connection connection. Huko aliko bila shaka anasikitika kuyatamka.
  15. Magane

    Uchaguzi 2020 Noel Msigwa: Tume ya Taifa ya Uchaguzi mlishampanga mshindi wa kiti cha Urais?

    Mimi mwana ccm since 1977 lakini this time yaelekea tumeshikwa pa baya.
Back
Top Bottom