Recent content by Magambas

  1. Magambas

    JamiiForums Tanzania Diamond kila anapogusa moto

    Yametosha..alipoongelea ukabila alikosea sana..aombe radhi..
  2. Magambas

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye LOWASSA, leo sa 3:00 usiku huu ITV usikose

    Ulitaka na wewe wakuhoji nini...jenga hoja acha kuropoka...Maisha ya lowassa toka amekuwa unataka wakawahoji watu wa kigoma je inawezekana....
  3. Magambas

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Kuongea sana so kutenda...
  4. Magambas

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    Kila lenye mwanzo lina mwisho.....
  5. Magambas

    JamiiForums Tanzania CCM yazidi kujikaanga yenyewe

    Umenena vyema mkuu.....pia wasiendelee kuchokonoa chokonoa Lowassa ana siri nzito sana shauli yao hawaa prematual..ccm.
  6. Magambas

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Songea wa kumnadi mgombea ubunge na madiwani

    Kumbe siku Hizi mikutano inafanyika barabarani......hongereni
  7. Magambas

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Rizone....
  8. Magambas

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Mlevi ni nani tena...me sipo jamani eti LAKE OIL ni ya nani.....
  9. Magambas

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wananchi wafunguka

    Huna jipya wewe kale ukwaju.....
  10. Magambas

    JamiiForums Tanzania Ufisadi waibana CHADEMA, Mengi atema cheche wagombea wala rushwa

    Wewe umegawiwa shilingi ngapi...Acha kuropoka sawa mtoto mzuri..
  11. Magambas

    JamiiForums Tanzania Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Hongera mzee wangu nakuombea usiku na mchana...
  12. Magambas

    JamiiForums Tanzania Maswali matano (5) ya msingi uvamizi wa Ndg. Humphrey Polepole

    Pole pole ni kama malaya aliyekosa mvuto kwa sasa anajaribu kushika akili zetu..Jana kachemka kwenye MADA MOTO...anatetea ujinga sana..Eti MKAPA yuko sawa kuwaita Ukawa malofa na wapumbafu..
  13. Magambas

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

    Acha uzushi wewe kila kukicha hamuishiwi vioja...Fanya utafiti ndo upost ...mnachosha nyie.
  14. Magambas

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hapa kazi tu mtaa kwa mtaa.
  15. Magambas

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

    Tena anahitaji doctor..
Back
Top Bottom