Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

Rais Kikwete: Sikumuelewa kabisaa Sumaye

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,158
Reaction score
417
Jana katika uzinduzi wa kampeni za Urais Jangwani, Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete alisema hakumuelewa Sumaye aliyesema kahamia UKAWA kwa lengo la kuimalisha CCM.

Katika hili hata mimi sikumuelewa Sumaye zaidi ya yote aliposema kina Mbatia hawana uwezo wa kuunda na kuongoza Serikaali.
 
Jana katika uzinduzi wa kampeni za Urais Jangwani, Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete alisema hakumuelewa Sumaye aliyesema kahamia UKAWA kwa lengo la kuimalisha CCM. Katika hili hata mimi sikumuelewa Sumaye zaidi ya yote aliposema kina Mbatia hawana uwezo wa kuunda na kuongoza Serikaali......

Yule mzee anazeeka vibaya hajui kama yeye akiwa waziri mkuu aliharibu kuliko mawaziri wakuu wote Tanzania.
 
Kikwete hawezi kumwelewa kabisa Sumaye. Hata hivyo anamtakia nini? Kwani ndugu yake?. Atahangaika sana. Hatakaa amwelewe kabisa, halafu habari ya Sumaye tokea sasa haimhusu kabisa...
 
Mimi nadhani kile kilikuwa kijembe, akisema kuwa yeye hana madhara yyt ndani ya CCM, sote tunajua sio kweli kwamba kutoka kwake hakuna madhara......alikuwa anafikisha ujumbe kwa wale wenye kudharau na kujifanya chama ni mali ya familia, hapo aligusia ukaskazini uliosemwa na mtoto wa Mkuu........
 
Wajifunze hata katika historia sayid balghashi hakurajia wanyoge wa unguja wangejikwamua vile, watu tumechoshwa na uzabi-zabina wa ccm hata wakimbizanapo waliokasirishana ,ukimsikia yule wa nyuma anarembea matusi kwa wa mbele yake fahamu wazi mbio zimemshinda.!
 
amekaa miaka kumi bila kuelewa kitu , ndio uvasco ulizidi akitafuta kuelewa kitu , mwisho amedhihirisha hakuelewa kitu....
 
Muulize mkapa,ni sumay ndio aliemsaidia kuwa na mazungumzo ya amani z,bar,lakini mkapa alikuwa hataki. Mpaka alipouwa watu tena akiwa nje ya nchi akaona aibu sana.
 
Back
Top Bottom