CCM yazidi kujikaanga yenyewe

CCM yazidi kujikaanga yenyewe

Aliwajibishwa au aliwajibika?Maana kuna kufukuzwa kazi na kujiuzulu.
 
Wale mipasho wa ikulu wameshindwa kujibu hii ngoma ya Richmond , JK anaomba Mungu EL asipewe dakika 5 tu za kampeni! Hujiulizi? Anajuta kumjua Lowassa, Kama kweli fair game asiwatishie media na Viwanja vyote Tanzania , asubiri bahari itapike! Anaogopa nini Kama ukawa wanatengeneza mafuriko? Bado escrow Lowassa Ana file zima pia IPTL;
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

Duuuu mkuu kwanini mpaka aingie Magufuli? Miaka yote jamaa wasimfunge? Sasa huoni kama serekali imekosea hapo? Kwa namna hiii kweli ccm hawataingia ikulu na hawatapata tena hiyo nafasi yakumfunga fisadi kama nikweli. ..
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB
 
Sisiem wametuaminisha kuwa balali alisha kufa . sasa kama kweli serikali ya sisiem iko makini na mafisadi na wana ushahidi basi wamkamate lowasa wamfikishe kwenye sheria . Ila kwasababu wanaujua ukweli kua itamcost mkulu wa kaya ndiyo maana wanapiga porojo za kike . lowasa jitu kubwa sisiem wanaufyata .
 
Juu kinasomeka hiki ndani kimeandikwa kingine, hii ni style ya waandishi wa udaku
 
Akihutubia mkutano wa (NEC) ya CCM Lowasa alinukuliwa akieleza hatua kwa hatua namna kampuni ya kitapeli ya Richmond ilivyopewa zabuni ya kufua umeme wa dharura nchi ni na kwamba Rais Kikwete anahusikamoja kwa moja kwenye mkataba huo.

Akiliambia kikao cha NEC mjini dodoma "Hakuna jambo nililolifanya ambao wewe Rais Kikwete hukulifahamu au hukunituma" kuhusu Richmond/Dowans. "Alisema mwenyekiti natukwanwa kwa ufisadi wa Richmond? Sasa kosa langu ni lipi?

Ni kule kukubali kuwajibika kwa ajili ya serikali yangu na chama chetu? Kwanini nihukumiwe kwa kisa hilo?" Huku akimtolea macho kikwete Lowassa alisema, "Unakumbuka vyema jinsi nilivyotaka kuvunja mkataba ule. Nilikupigia simu ukiwa nje ya nchi,lakini ulisema umepata ushauri wa kamati ya makatibu wakuu, ushauri ambao ulisababisha mkataba usivunjwe??"

Lowasa alisema Kikwete anafahamu kila kitu kwa kua ni yeye aliyeridhia kampuni ya Dowans Holding corporation SA, kupewa kazi hiyo baada ya Richmond kushindwa kuleta umeme. Katika muda wote ambao Lowassa alikua akizungumza ndani ya NEC Samwel Sitta alikua kimya kwa hofu kuwa Lowassa ataweza kumuumbua kwa kufichua zaidi yaliyofichwa juu ya alivyotumika kwa maslahi BINAFSI.

Mara kazaa Rais kikwete aliyekua akiendesha kikao hicho alimuangalia Sitta kama ishara ya kumzuia kuzungumza, jambo ambalo lilitibitisha maelezo ya Lowassa hausiki na sakata hilo.

Naye Mr Ben naye aliyekuapo mkutanoni humo alimshawishi Rais kikwete kutowapa nafasi watu wengine baada ya Lowassa kuzungumza. Kwa CCM nafikiri huu ungekua wakati muafaka wa kumwajibisha bwa ENL lakini mambo yamekua magumu kwao na kiutendaji wameshindwa kufanya hivyo japo walitumia juhudi kubwa kumchafua kupitia viongozi vibaraka wa ndani ya chama waliokua ndani ya payroll ya chama hicho.

Lakini mpango wa kuwatumia baazi ya kumchafua kati ya wajumbe 32 ni kuzidi kupoteza dira zaidi na zaidi licha ya chama kuonekana wazi kimepoteza muelekeo kwa kauli za kiuchochezi na za kufikirika za viongozi wao "tayar CCM imeshalikomboa taifa hili na kwamba wanaosema wanataka kulikomboa ni wapumbavu na malofa" japo mkapa na wenzake wanajua kuwa wanazungumzia ukombozi mpya,hawazungumzii BENDERA. Wanazungumzia Uhuru kamili wa kushika uchumi na utu wa MTANZANIA. Wanazidi kujikaanga kimipango na kwakauli zao wenyewe.

Rais kikwete alisikika akisema kwa kejeli mbele ya vyombo vya habari kua picha zinazomfata mafuriko Lowassa ni za kuunga ungu tu na wala sio halisi...akiwa wameshindwa kudhiirisha hilo japo kwa kutaja chango flani kinachohusishwa kwa kujiusisha na upotoshaji wa namna hiyo na kuthibitisha wanasimamia kucha.

Naomba niwasilishe karibuni wanjanvi tujadili.

Umenena vyema mkuu.....pia wasiendelee kuchokonoa chokonoa Lowassa ana siri nzito sana shauli yao hawaa prematual..ccm.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea
Kumbe Mahakama za JK zinamuogopea? Sasa hiyo ya Magafuli itawezaje?
Kumbe mahakama sio muhimili unaojitegemea zinaendeshwa na maraisi?
 
Kumbe Mahakama za JK zinamuogopea? Sasa hiyo ya Magafuli itawezaje?
Kumbe mahakama sio muhimili unaojitegemea zinaendeshwa na maraisi?

Mimi ndio nimechoka hapo😂 😂 😂
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

Mmeshindwa kuwafunga wezi wa EPA leo unaongea nini? Eti ushahidi hakuna mkawaachia watuhumiwa. Kwa ufupi tumechoka na maigizo!
 
TAFAKARI EWE UNAYEJIITA MWANA CHADEMA
----------------------------------------------
Inasikitisha sana kuona ukabila na undugu kama huu Tz...

1. Mwenyekiti Chadema taifa- Mh Freeman
Mbowe (mchaga,kilimanjaro)

2. Mkurugenzi wa fedha na uwekezaji - Ndugu
Anthony Komu (mchaga,kilimanjaro)

3. Mwenyekiti Bodi ya wadhamini ya chama -
Mh. Philemon Ndesamburo (mchaga,
kilimanjaro)

4. Mkurugenzi wa Rasilimali wa chama- Ndugu
Suzan Lymo (mchag,Kilimanjaro)

5. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri -Ndugu
John Mrema (mchaga, kilimanjaro)

6. Naibu katibu Mkuu wa chama - John
Mnyika ( mpare wa kilimanjaro mwenye maskani yake Dar)

7. Mwenyekiti wa Wanawake Halima Mdee (Mpare wa Kilimanjaro mwenye maskani yake Dar es Salaam)

8. Makamu mwenyekiti wa Wazee Susan Lymo (mchaga wa Kilimanjaro)

9. Walinzi wote wa Mbowe (wachaga wa Kilimanjaro)

10. Asilimia 98 ya madereva wa Chama wachaga wa Kilimanjaro

Asilimia 80 ya wabunge wa kuteuliwa wa Chadema wanatoka Kilimanjaro na
Arusha,wakiongozwa na Mrs wa Mbowe wa pili Joyce Mukya, Grace Kihwelu, Suzan Lymo, Lucy Ndesamburo Owenya, Cecilia Pareso, Rebecca Mngodo na Rose Kamili.

11:Tundu Lisu MB na dada yake wa kuzaliwa MB
wa kuteuliwa,

12😀k Wilbroad Slaa katibu mkewe wa ndoa Mb
wa kuteuliwa

13:Mbowe Mwenyekiti Mkewe mdogo Mb wa
Kuteuliwa

16:Ndesamburo Mb mwanawe wa kuzaa MB
kuteuliwa

16:Mtei Mlezi wa chama mkwewe Mbowe
Mwenyekiti wa Chama,
Hii familia inataka iongoze watu zaidi ya milioni
44 haitakuja kutokea katika historia ya Tanzania

Ndio wanafamilia hawahawa waliomtengenezea zengwe la kumfukuza Mh Zitto Kabwe katika chama hiki cha kifamilia baada ya kuona anakubalika ndani ya chama hicho na anauwezo wa kuwa mwenyekiti endapo angechuana na Mbowe lakini si mchaga wala mtu was kaskazini.

Hapo ndipo vikao vya kifamilia vikaanza na kuamua kumtimua Zitto.

Wanafamilia hawa ndio wamemuuzia chama chao Edward Lowassa kwa kiasi cha Billion 10 ili agombee urais kupitia chama hiki! Dr Slaa alipohoji akaambiwa wewe sio mwanafamilia hivyo tulikustili kwa muda tu. Ndipo slaa akagundua kuwa sio chama bali ni SACCOS na kuamua kujiengua.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, nanukuu " Mtu anayeonekana anapenda sana kwenda ikulu hafai hata kidogo ni wa kukwepa kama Ukoma".

NDG watanzania huyu Lowassa anavyopenda sana kwenda ikulu tumkwepe. Hizo bilioni 10 alizonunulia chama anataka akazirudishe kwa kutuibia sisi wananchi. ZINDUKA!

Kama amenunua chama akipewa nchi siataiuza kurudisha gharama zake......!!!!?

#SayNo2Fisadi
#FisadiMwikoIkulu
#RestInPeaceFisadi
#NoEntryB

Yazamani kweli hii,tupa kule.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

sawasawa sasa akifungwa tunategemea kuona selo ya lowasa kule segerea iwe pembeni na selo ya JK aliyeamuru mkataba wa richmond usivunjwe na kuendeleza wizi wa richmond kupitia dowans na symbion, selo ya lowasa iwe pembeni ya selo ya JK aliyeuza vitalu vya mafuta kwa mabepari wa marekani na norway,na kuruhusu wachina waajiri vibarua kutoka China wakati wadogo zetu hapa wanateseka bila kazi. Selo ya lowasa inatakiwa iwe pembeni ya selo ya mkapa aliyeuza nchi na kuifisadi,iwe pemebeni ya selo na mawaziri wote na makatibu waliofanya vikao na richmond kupitisha mkataba, selo ya lowasa iwe pembeni ya mafisadi woote wa meremeta, epa, rada, uuzaji wa nyumba za serikali na wizi wa mabilioni wizara ya magufuri,masifadi wa mkataba mmbovu wa gesi na mafuta, escrow, mikataba ya madini, meno ya tembo, twiga na pundamilia, madawa ya kulevya, mamilioni ya bush ya barabara, dowans, symbion etc etc

Na wote waliompa lowasa mafao yote na heshima ya uwaziri mkuu mstaafu hadi mwezi uliopita nao wafungwe kwa sababu sheria inasema waziri mkuu aliyejiuzulu kwa ufisadi asipewe hayo mafao.

Huu ndio mwisho wa CCM kutoa watu makafara, safari hii kila mtu auchukue mzigo wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom