Recent content by magajohn

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ufisadi wanaoufanya walimu serikalini. Nao ni majipu, watumbuliwe

    Ufisadi hapo uko wapi. Au unaelewa nini kuhusiana na neno ufisasi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ufisadi wanaoufanya walimu serikalini. Nao ni majipu, watumbuliwe

    Na miminimeshafanya sana lengo kipato. Mlipe MTU kipato sawa na anachofanya. Lazima utafute njia mbadala ya kujikimu.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchaga huyu mmmmh

    Sasa kama yuko hivyo ujue sio wako unalazimisha. Tafuta mkoa wa pwani utapata anayejua mapenzi.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Mmenifurahisha sana na huu Uzi. Ila ukweli mtupu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

    Sasa jamani kama ni mpambanaji sana ni lazima aende bungeni. Najua wote ni wambambanaji katika mazingira tofauti nachoomba aendeleze harakati zake nje ya bunge.. Chama kinatakiwa kujengwa. Ndo maana ya dhana ya uwakilishi ni wachache wanatakiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

    Umeeleweka na Mimi naungana nawe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Wanao sema mtoto sio kweli. Watoto hawajui siasa na hoja nzito hivyo.kwa hiyo ni kuyatafakari na kuyaacha yalivyo maana yana mwisho wake. Anakuambia watatawala miaka mwingine 50.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Mbowe, Mnyika, Kubenea, Mdee, Tundu Lissu

    Naomba kuuliza jamani. Hizi special seat zinawahusu mwanaume pia? Kama wanaume wanaruhusiwa viti maalumu basi msimwache kafulila p.se na mtatiro ni watu muhimu bungeni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Kuna tofauti kati ya mteule na wakuchaguliwa kwa kura.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Atatoa kesho wakati sisi kesho ndo tunapiga kura. Hukumwelewa sikiliza vizuri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mwenyewe natamani matokeo ya mtama
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

    Tanzania tutakua tumeongeza ajabu moja LA dunia. TBC kurusha matangazo ya Ukawa tarehe 24 siku moja kabla ya uchaguzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo amkemea Lowassa

    Mimi sio mwamini wa RC. Ila p.se tunaomba msiwachonganishe watumishi na wanasiasa. Hapa unajenga tu chuki. Unaliamini sana ilo gazeti?? Siasa za maji taka.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni Heka heka mitaani leo, walimu wamelipwa madeni yao yote + Posho ya Uchaguzi hatupumui

    Ni baadhi ya Miji sio kote. Sisi hatujui lini tutalipwa hata. Ila misibweteke. Uchaguzi unafanyilka kila baadae ya miaka mitano. Kwa hiyo jiande kisaikology miaka mitano utaishije. Soln. Mabadiliko tu ninachoona Mimi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Jamani Mimi na marafiki zangu tuna subiri jumapili tu ifike maana nachinja vibaya. Nimeshamkubali na kumwelewa lowassa hakuna wakunibadili kabisa
Back
Top Bottom