Elections 2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

Sio hiyo tu, baada ya kubakiza siku 2 ofisini kaendelea kuteua maswahiba wake, ni juzi tu kateua m/kiti wa bodi ya wakurugenzi TTCL haya si matumizi mazuri ya ofisi halafu sio busara.
Hata mimi hicho kilinishangaza kidogo! Kwani Rais Magufuli hawezi kubatilisha utehuzi huo? Mashirika ya UMMA ya umuhimu wa pekee kama TTCL alipaswi kufanyiwa mchezo, mimi kwa mfano sipati picha kwa nini baadhi ya Viongozi Serikalini walikuwa wanaipigia debe Kampuni ya simu ya VietNam wanawapatia projects ambazo zinapaswa kufanywa na TTCL kwani waliwambia TTCL haina uwezo wa kutekeleza projects hizo - wanapiga vita shirika la UMMA sijui kwa maslahi ya akina nani? Mh.Magufuli chunguza sana ujio nchini wa Kampuni hii ya VietNam na ijulikane bayana mkataba wake na Serikali ulihusu nini hasa,sio wanatumia mbinu za kutaka kuidhoofisha TTCL wakishirikiana na viongozi wenye ubinafsi - kuna kitu hakija kaa sawa hapa.
 
Watanzania msiwe ni kama watu msokuwa na dini, msiojua kushkur! JK will remain one of the best presidents ever, leo hata akina nanhii nao wanafika vyuo vikuu, serikali yake imekuwa ainaajiri zaidi ya graduates 35,000 hasa wa education kwa mwaka
Zaidi ya wanafunzi 50,000 wa elimu ya juu sawa na 82% hawataendelea na masomo yao baada ya bodi ya mikopo kusema haina pesa.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Watanzania msiwe ni kama watu msokuwa na dini, msiojua kushkur! JK will remain one of the best presidents ever, leo hata akina nanhii nao wanafika vyuo vikuu, serikali yake imekuwa ainaajiri zaidi ya graduates 35,000 hasa wa education kwa mwaka

Umenena vema mkuu, ila he was supposed to do even more than that, pia usisahau kuwa huo ulikua ni wajibu wake.
 
Watanzania kiboko! Juzi hapa mlikuwa mnalia na upole wa JK mpaka wengine mkaomba hata mpate rais dikteta. Leo mmepata Tinga Tinga bado mnalalamika. What do you want? Kazi yetu kulalamika tu but no critical thinking na jinsi ya kutatua matatizo. Hovyo kabisa!
 
Kabla hajamaliza ile miwili tu hali ishakuwa tete. Kapumzike kwa amani JMK. Tukipata nauli tutakuja kukusalimu Msoga
mi sitaki hata kumuona; mtu anaondoka kaiacha nchi vipande vipande; majina ya wauza unga na meno ya tembo kaondoka nayo (nina hakika hata (JPJM) hajaachiwa hayo majina.

Sitaki hata kumuona mtu anayeondoka baada ya kuwazawadia wezi wa escrow na epa.
Sitaki kumuona mtu mwenye chama chenye "kuteka anga" na kuchachua kura.

Sabsbu macho hayana pazia yawezekana nikamuonalkn kamwe sitafanya jitihada ya kumuona!
 
Mimi ndiyo nimefurahi sana kuondoka kwake zaidi yako. Tumepata taabu sana hii miaka kumi.
 
Watanzania kiboko! Juzi hapa mlikuwa mnalia na upole wa JK mpaka wengine mkaomba hata mpate rais dikteta. Leo mmepata Tinga Tinga bado mnalalamika. What do you want? Kazi yetu kulalamika tu but no critical thinking na jinsi ya kutatua matatizo. Hovyo kabisa!
Nani amelia kumpata Magufuli utakuwa unachanganya mambo.
 
Barafuyamoyo wewe unapenda thread za kumfagilia Kikwete tu?
 
Mungu yehova asante kutuondolea mtu huyu...twakuomba kama huyu aliyeapishwa leo kama ni aina yake please, LORD MAY YOU STRIKE HIM SOON BEFORE WE GET A MILE WITH HIM!! IN JESUS' NAME AND MUTUME MUHAMED WATUME WAFUASI WAKO ALSHABAAB NA BOKO HARAM, ISIL NA INTARAHAMWE, FDLR WAMMALIZIE MBALI..HATA JOSEFU KONNY POPOTE ULIPO TUSAIDIE...THANK YOU
 
Nimemwambia Wife naomba upike pilau leo, na nimeagiza Wine kibao, kwangu leo ni sherehe, sherehe ya kufuraia kuona KIKWETE anaondoka, napata faraja moja tu, sikuwai mchagua kikwete mara zote mbili.

Ahsante Mungu sijashiriki kuliangamiza Taifa langu kupitia kura yangu ya 2005 na 2010. Nenda tu Bro binafsi sitakukumbuka
 
  • Thanks
Reactions: naa
Mungu yehova asante kutuondolea mtu huyu...twakuomba kama huyu aliyeapishwa leo kama ni aina yake please, LORD MAY YOU STRIKE HIM SOON BEFORE WE GET A MILE WITH HIM!! IN JESUS' NAME AND MUTUME MUHAMED WATUME WAFUASI WAKO ALSHABAAB NA BOKO HARAM, ISIL NA INTARAHAMWE, FDLR WAMMALIZIE MBALI..HATA JOSEFU KONNY POPOTE ULIPO TUSAIDIE...THANK YOU
Dah hii sara kiboko.
 
Back
Top Bottom