Recent content by Magagi manonu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Mr Fyatu usiwatetee wezi waache waondoke, natambua umuhimu wa kuwa na viongozi wachapakazi na wasafi kwa mstakabali wa Taifa langu, lakini kwa hili HAPANA hata kama Muhongo na Maswi ni wachapakazi unawaubali wakubali wameteleza katika utendaji wao wapishe waje wengine mbona wanajiona bila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    Hakuna waziri muongo kama professor Muhongo-Hamis K.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muhongo Na Maswi Wachunguzwe na Kukamatwa Mara Moja

    NI WEZI TU Waondoke
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Kama ni ya uongo kwa hiyo wewe unataka kusema nini sasa wote tulisikiliza na kuisoma,ni mtazamo wako na wake ila mimi naamini ni ya ukweli.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswi: Siwezi Kuwa Mbuzi Wa Kafara. Wezi Wakuu Wajitayarishie Kihama !

    Hana lolote akabidhi ofisi, uongozi wake wa kimajungu,ukabila, visasi kwa walio kinyume naye, urafiki,kuhamisha watumshi kwa kuwakomoa, kufanya uteuzi wa vyeo kwa upendeleo,kugawa pesa kwa kujionesha kuwa ni mwanaume wenzake ni wanawake wote n.k yataendelea kumgarimu popote aendako ASANTE...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo una laana ya wanamtwara

    Hakuna Waziri muongo kama profesa Muhongo- Hamis Kingwangala et al
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muhongo,Werema,Maswi walitekeleza maagizo

    Ni wezi hao acha kuwatetea.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PAC imeudangaya umma?

    Inauma namna serikali hii wanavyoaibishana wao kwa wao taarifa ya PAC imetokana na ukaguzi wa CAG,uchunguzi wa PCCB na TRA ambazo zote hizi ni taasisi za serikali.Kama taarifa ya PAC ni ya uongo,basi CAG,TAKUKURU na TRA wawajibishwe kwa kuundanganya umma wa Watanzania.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    SHIKAMOO ZITO ZUBERI KABWE kwa kuwatendea HAKI WATANZANIA umetimiza wajibu wako pasi shaka.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa maaskofu ukowapi kutoa kauli na waraka juu ya hili swala la escrow

    Ziko wapi asasi za kiraia, TAHLISO,TUGHE, RAAWU mko wapi au haliwahusu? Tuuganeni kupinga wizi huu wa wachache huku Watanzania wakifa kwa kukosa dawa, wanafunzi mkikosa mikopo, wananchi tukiwa na huduma mbovu kwa watoto wetu shuleni nk
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

    Muongo ni mpuuzi sana siyo kidogo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Maisha yetu hatarini

    PAC msiogope tusongeni mbele tuko nyuma yenu Watanzania wengi mno tulioguswa na kuumizwa na wezi kwa mud mrefu sasa MWISHO.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Kwako prof. Muhongo,, Maswi na wengine nawakumbusha maneno ya Rais Kikwete alishawahi kusema hivi: "Rasilimali inayopatikana mahali popote Tanzania ni mali ya Watanzania wote,yeyote anayetaka tuamini toufauti hajitakii mema yeye binafsi na wala Taifa" '' Cheo ni dhamana, uongozi ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Waletwe Nyerere square Dodoma tuwachome MOTO mbona vibaka wakiiba hata simu ya tochi anaadhibiwa na wengi wamechomwa moto sembuse na hawa walafi wa kupindukia na wenye viburi vya pesa zetu kama MASWI na Muhongo na wengineo.Wizara na taasisi zake wameibadili kuwa ya kikurya.
Back
Top Bottom