Recent content by magadoxa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengine majanga

    Evelyn we ni noma mm ni mgeni lkn kila nikifuatilia comment zako hakuna inayoboa, big up
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia Benki ya Stanbic tawi la Mayfair, Msasani

    Hela zote hizo lazima managers wamejichukulia chao hata hao majambazi wakisikia that amount watashangaa kuwa managers wamechukua zaidi ya walioiba wao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    Jamani mm nimepoteza mtoto wa aunt yangu mwezi wa sita walienda kishule kutembelea hilo ziwa na mpaka leo hajapatikana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

    huyo atakuwa hajatahiri, maana waliotahiri wakikung'uta tu dusheee mkojo wote kwishnei
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simu za wanandoa nyingi ni chafu, hawaingii majumbani mwao mpaka wazisafishe

    haaaa haaaa km vingekuwa sabuni vimeisha muda mrefuuuuuu
Back
Top Bottom