jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Itakuwa niwewe usisingizie rafiki...
Namzungumzia rafiki yangu wa karibu sana namfahamu in and out. Hakuna anachoweza kufanya nisijue
Kwa sura yuko very handsome, na ni mzungumzaji sana.
Sasa jamaa ni mjuzi sana wa kujichanganya na watu. Nikitembea naye, tukikutana na watu hata kama hatufahamiani unakuta kashaanzisha mazungumzo.
Linapokuja suala la michepuko jamaa anapendwa sana na wanawake mpaka nashindwa kuelewa huwa anawafanya nini. Akitaniana na mdada tuu ujue demu kashaingizwa kwenye line.
Kasheshe inakuja anapokubaliwa request yake anaanza kupiga chenga, mara aje aombe ushauri, mara amfanyie tathmini, na sababu kibao. Kati ya wanawake watano ataishia kupiga mzigo mmoja. wengine anawapotezea.
Hili jambo huwa linawaudhi sana wanawake, sometimes ananionyesha msg wanazomjibu, mpaka inakuwa kero
Nipeni wazo nimshaurije huyu mtu. Wakati mwingine najaribu kujiweka mbali naye lakini inakuwa ngumu kwa sababu nafanya naye kazi pamoja.
hahahahhahah sio uzi kabisa, mana hata spoku ya mshkaki au toothpick yasimama imara......... hahahhahahahhicho ni kituspiki au spoko ya mshikaki
Jamaa yako ni nyuki wa canteen haumi kazi kulamba sukari....
utakuta hata huyo mmoja hadonoi wala nini show off tu mjue kala, na usikute ni jogoo wa kuchora hawiki!!
Nisaidie kushangaa!!!Dah! Binadam bhana ,
. Ukiwa unawafolenisha hawaachi kukusema,
. Kama hujihusishi nao kabisa watakuita joka la kibisa
. Ukienda nao mdogo mdogo et nyuki wa canteen.
Sijui mtu aweje
Hakyanani haya maneno ya kwenye kanga haya! Ukimwi hautoisha kwa mwendo huu. Mwanaume gani atakayekubali kuambiwa hivi? Especially from a lady!
Unakuta hapo waviziaji hawaendi engo hizo wakijua jamaa mmilikisasa kama kazi kusindikiza sindikiza tu mademu nsiseme? escorter tu huyo
Unakuta hapo waviziaji hawaendi engo hizo wakijua jamaa mmiliki