Recent content by Mag

  1. Mag

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

    Yametimia! Nilihisi tu hatafika mbali kwa tabia zile alizokuwanazo!
  2. Mag

    JamiiForums Tanzania Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

    Kama kweli, Sir God atanikuta home namsubiria!
  3. Mag

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    .................."Dk. Slaa analipwa Sh 7,174,000 " ........... Hii pesa yake inakatwa kodi ya mapato? Au ndo ka hao wabunge wengine?
  4. Mag

    JamiiForums Tanzania Petrol kenya sh 1320 ya TZ, je kwa nini sisi ishindikane?

    Kipi si kweli? Kwamba serikali ya Kenya haikushusha ushuru wa mafuta? au?!
  5. Mag

    JamiiForums Tanzania Petrol kenya sh 1320 ya TZ, je kwa nini sisi ishindikane?

    Baada ya kilio cha wananchi na mpango wa kuandamana, serikali ya Kenya ilitangaza kupunguza ushuru wa mafuta! Ndio mafuta kote yamepanda bei lakin kuna kitu chaweza fanyika ili kuwapunguzia wananchi makali! Kukaa kimya kwa serikali yetu sio suruhisho!
  6. Mag

    JamiiForums Tanzania Hodi mbele!

    Jamani wana jf miye mgeni mitaa hii! Amani kwenu! :smile-big:
Back
Top Bottom