Recent content by Mafuluto

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum

    Bora huyo kuliko huyu kihiyo, jizi na bingwa wa forgeries Abela Muyungi anayetamba eti katumwa na Rais. Ukoo wao tu umemtenga kwa sababu ya kuiba mali za kwao yy na mme wake. Yaani anatia aibu wanawake wote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi tatueni hii migogoro kabla hajafa mtu kwa mapanga au kulogwa

    Eneo gani hilo ? Tatizo kubwa maeneo ya huko ni ulafi pia wa viongozi hasa wa mitaa.. Rushwa nje nje
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa akutana na Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi

    Kama maofisa wake hawajui PGO..bora wangeanza na semina elekezi kabla ya kukutana na Msajili. Na huyu msajili around mid 2000s alikuwa RM pale Kisutu. Rekodi yake ilikuwaje ... inaweza kutupa clues kwa tabia zake za sasa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

    Hawa ni wale wale wapiga debe wa Kaganda.... ndo maana unaona kashachomekea wakati subject ni Sirro. . Kama issue ni uanamke, wapo wanaofaa lkn sio Kaganda !!
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

    Ndo huyu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa mataifa (UNEP)

    Bora huyu kuliko yule jamaa, yy na sangoma tu kila siku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa DG wa TAKUKURU

    Safi sana. Pale Kinondoni pia ni kwa kutupia jicho, sio wasafi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

    Ndo umeandika nn sasa ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    ...watu wengine sijui wanafikiria na masaburi au ,!! She is very experienced na mambo haya ya problem solving tree..kama hujui kuliko huyo aliyekuwa na PhD feki ya kukrem periodic table tena very few elements.... Yeye tena Mama jana kasema anataka kukutana na madhehebu yote separately...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

    Ushamba tu... Au mpk avae kinafik kama mzee wa misifa na mauno Lugola ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Duh ndo wewe lzm maana umejifagilia balaa.... Ila unfortunately CCM aka majizi ya kura ni wale wale...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ACP Muliro: Wanajiona kuwa hawana imani na Jeshi la Polisi ni haki yao Kikatiba

    Safisha Temeke, ule mkoa ni mchafu sana. Ukiona watu hawana imani ni sababu wamechoshwa. Toa namba ya siri upate news.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta uliogunduliwa na DC Sara Msafiri sijaiona Waziri au Waziri Mkuu au Rais akilisemea, ni mradi wa wakubwa?

    Nani kasema DC ndo aligundua wizi ? Mlizoea kupeana sifa za kujitungia tuuu.... Subiri uchunguzi uishe kwanza isijekuwa ni sehemu ya wale waliokuwa wanavuta pesa kutoka kwa jamaa wale....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

    Kumuudhi mlipa kodi tu. Hii dhana sijui wameiokota wapi yaani kitu kidogo tu awareness campaigns through billboards, radio and print ads !! PM itabidi ateue akina chumvi kuwa balozi wa kuwatunza wabunge adabu wakatwe kodi na payee ili wapewe kiinua tumbo halali...
Back
Top Bottom