Ulipotaja jina la ENL, Kingunge, Mgeja na wengine kama sehemu ya watu wanaowakilisha kundi la CCM asili, andiko lako zima limekosa mantiki. Kwa kukusaidia tu, rudi kasome kuelewa historia, msingi, kanuni na imani ya chama cha TANU na baadae CCM kwanza kabla hujaja na kutuelea Lowassa...