Katibu Mkuu wa Wizara anaruhusiwa kupigiwa salute, kukagua Gwaride na kufunga mafunzo ya majeshi?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili , yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini Tanga.
 
FACTS!!
1. police, magereza, uhamiaji, zimamoto ni idara za serikali sio MAJESHI!
2. Jeshi JWTZ tu.
kwa hiyo katibu mkuu kukagua hawa watu wa idara za mambo ya ndani sawa kabisa.
Mkitaka ukweli basi katibu mkuu huyo aende Monduli!!! au hata katibu mkuu wazara ya ulizni kama ni raia aende monduli kuto zile nyota za wanyamwanga!!!! HAIPO
 
serikali inasema 'jeshi la polisi', 'jeshi la magereza' n.k. hahaha!
 
FACTS!!
1. police, magereza, uhamiaji, zimamoto ni idara za serikali sio MAJESHI!
2. Jeshi JWTZ tu.
kwa hiyo katibu mkuu kukagua hawa watu wa idara za mambo ya ndani sawa kabisa.
Mkitaka ukweli basi katibu mkuu huyo aende Monduli!!! au hata katibu mkuu wazara ya ulizni kama ni raia aende monduli kuto zile nyota za wanyamwanga!!!! HAIPO
DC wa Kinondoni, alipigiwa saluti na JWTZ wakati wa halfa/ michezo ya kombe la CDF. So acha mbwembwe
 
Ni kweli kwamba katibu mkuu wa wizara anapigiwa salute kuanzia askari wa chini hadi wa juu yaani Jenerali na anaweza kukagua gwaride na kupokea salamu ya Heshima aidha Katibu mkuu wa wizara hiyo bahati nzuri ni afisa mkuu wa jeshi mwenye cheo cha Meja Jenerali anastahili yote hayo. .....
 
FACTS!!
1. police, magereza, uhamiaji, zimamoto ni idara za serikali sio MAJESHI!
2. Jeshi JWTZ tu.
kwa hiyo katibu mkuu kukagua hawa watu wa idara za mambo ya ndani sawa kabisa.
Mkitaka ukweli basi katibu mkuu huyo aende Monduli!!! au hata katibu mkuu wazara ya ulizni kama ni raia aende monduli kuto zile nyota za wanyamwanga!!!! HAIPO
Tanzania police force ninini? Na wala siyo Tanzania police Department
 
Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani, ndio mkuu wa utumishi wizarani, yaani idara zote zilizo chini ya wizara yeye ndio mkuu, hii achilia mbali wadhifa wake kijeshi ni Meja Jenerali.
 
Tujadili mambo ya maendeleo jamani! Hizo protocol zinawafaa wenyewe walioandaa wanajua nani atakuja kufungua na kufunga walijua kuna gwaride la kukagua! Tujadili mambo magumu ya nchi JF wapi tunaenda?
 
Katibu mkuu ni madaraka makubwa sana,DC tu anafunga mafunzo ya awali ya jkt,magereza,polisi anakagua gwaride na anapigiwa saluti.
 
Back
Top Bottom