Recent content by Mafranku

  1. M

    Zijue sababu zinazo sababisha wasichana wengi kutopata waume wakuwaoa 100%

    Naubaliana na ww,mi nawaogopa sana marafiki mana nilishawahi kua na mchumba tulipendana sana,rafiki yangu wa karibu alimfata akamwambia mimi nina mchumba ofcn yani ghafla mwanaume akabadilika,hee juzi kati hapa tumeshasahauliana si nikakutana na yule kijana,ndio akaniambia kua makini na fafiki...
  2. M

    Kusafisha tumbo

    Habari wa JF,natumaini sikuku ilikua njema,jamani nahitaji kusafisha tumbo langu,je nilchanganye nini na nini ili niharishe,mana nahitaji kupunguza mafuta tumboni kwa mda wa siku tatu tu,anae jua dawa au chakula anisaidie. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. M

    Wanawake na magari

    Jamani sio wanawake wote,mi ni msichana nafanya kazi serikalini kama nakitaka kumiliki gari hata mwezi hauishi namiliki,tatizo ipo kwa wale mabinti wenye tamaa,mi kwa sasa nahangaikia ujenzi wa nyumba coz i knw gari nina uwezo wa kua nayo,sasa ajabu hao wakaka wenye magari wanaongea hapa lakini...
  4. M

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Asanteni sana kwa ushauri wenu,basi nitaenda hosp kupima Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. M

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Habari za jumapili wapendwa,naomba kuuliza nini dawa nzuri ya UTI,mana nilipima hosp na wakaniambia ni UTI wakanipa anti biotics,Cplo na dox,sasa tatizo limerudi tena,je kuna dawa mbadala?hata kama ni ya kienyeji jamani mana hali yangu si nzuri Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. M

    Justus Esiri, Nigerian Veteran Actor is Dead

    I knw this man,mmmh Nigerian stars nao wanakufa,mana last year walikufa wawili dis year ni wawili,poleni jamani,so sad,R.I.P Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. M

    wanawake wa Tanzania hawajui kuvaa

    Mhh,nakubali watanzania hawajui kuvaa,lakini Kenya ni most,coz hao wakenya utakuta mdada ameva suti na raba,hivi inaleta maana kweli?halafu mchana kweupe wanavaa masweta,hivi ww kama umewahi kufika Nairobia kuna baridi gani kiasi cha mchana jua kali kuvaa sweta,yaani kenya ni Zero katla...
  8. M

    we unavutiwa na yupi kati yampenzi muongeaji na mkimya

    Mwanamke asiye ongea ni mzuri,mana akili yake inafanya kazi,anatafakari,pia anaweza kuongoza nyumba,ila muongeaji mara nyingi ni mropokaji, Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. M

    Natafuta mchumba

    Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote inayomuingizia kipato,kwa atakayekua tayari tuwasiliane kwa e.mail hii:sundy.joseph@ymail.com. Sent from...
  10. M

    Natafuta mchumba

    habari zenu,Mi ni binti wa miaka 28,natafuta mchumba ambae Mungu akijalia atakua mume,awe na umri kuanzia 30 na kuendelea,awe mlokole,anayefanyakazi yeyote inayomuingizia kipato.kabila lolote,mi nina fanya kazi serikalini,tukijuana tutapeana contact,kwa mawasiliano atumie email...
  11. M

    Nimechanganyikiwa.

    Pole my dear,mi ilishanikuta,mwanaume mpaka kwetu walimjua na process za uchumba ziliku zinaanza!akaja akaniambia kwao hawanitaki kisa mi si mchaga,niliumia sana tena sana,but sasa nimeshamsahau,ila cha ajabu juzi ananitafuta eti yupo tayari kwenda kutoa mahari hata kesho,ndio nikajua kua kumbe...
  12. M

    Natafuta mchumba ambaye alishawahi kuolewa akaachika

    Sory why unataka aliyeachika,please nijibu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom